AliKiba amefunguka jinsi Dully Sykes alishiriki kutengeneza wimbo wake wa kwanza (2003)

Yeeeeeeep the King is Baaaaaack,
Afadhali atuliwaze kipindi hiki cha Quarantine.
[emoji146][emoji146]

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Sasa utamfanya nini zaidi utachezea ban,muache mod afanye kazi
Ban siyo si kufukuzwa kazi/kibarua au kufungiwa biashara kwamba ntakosa hela na siogopi ban
 
Usimfananisha alikiba na vitu vya kijinga juzi picha tu na location moja na amisa vike trend kuliko hata Afro East albam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…