Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
nonesenseAli Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto kwa hata tu Mashabiki wake.
Diamond hajui Kuimba ila ni Mwerevu, Mbunifu, Mtafiti, Mjanja na ni Mtu wa Kujichanganya hivyo ataendelea kuwa juu Kimuziki, Kiutajiri na Kiumaarifu kuliko Ali Kiba.
Kwani alivyo Anza kuimba 2000+ diamond alikua wapi 🤔🤔 kipindi album ya kwanza ya Alikiba inavunja na kuweka rekodi ya mauzo diamond alikua wapi 🤔🤔 hata kama humkubali sio kuanza kuandika vitu ambavyo havina mantikiAlikiba amshuruku San mondi kuwepo vingevyo angekuta hata hatumjui Yuko kariakok anauza nguo
Bila Bifu hapo hakutakua na mvuto tena, bifu ndo linaweka mjini.Huwa najiuliza hivi na kwa wenzetu mfano wasauzi au wanaija nako haya mambo yako serious kama hivi kweli, yani bongo majungu na fitna kwenye kila tasnia siyo siasa siyo mpira siyo muziki siyo filamu, halafu hapo akihojiwa atakuja kusema hawana beef lolote wanachangamsha game tu
Wee ni mtoto mdogo eeeh? Diamond si ndo kamkuta Aki kiba ndani ya Game kitamboo?Alikiba amshuruku San mondi kuwepo vingevyo angekuta hata hatumjui Yuko kariakok anauza nguo
Chawa wa Domokayaa huwa wanavurugwa balaa pindi domokaya wao akifurushwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani alivyo Anza kuimba 2000+ diamond alikua wapi [emoji848][emoji848] kipindi album ya kwanza ya Alikiba inavunja na kuweka rekodi ya mauzo diamond alikua wapi [emoji848][emoji848] hata kama humkubali sio kuanza kuandika vitu ambavyo havina mantiki
Mkuu mbona meghan na nick minaj wana mabifu.Huwa najiuliza hivi na kwa wenzetu mfano wasauzi au wanaija nako haya mambo yako serious kama hivi kweli, yani bongo majungu na fitna kwenye kila tasnia siyo siasa siyo mpira siyo muziki siyo filamu, halafu hapo akihojiwa atakuja kusema hawana beef lolote wanachangamsha game tu
hajui kuimba? Huwa anaongea kwa beats na musics?!Ali Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto kwa hata tu Mashabiki wake.
Diamond hajui Kuimba ila ni Mwerevu, Mbunifu, Mtafiti, Mjanja na ni Mtu wa Kujichanganya hivyo ataendelea kuwa juu Kimuziki, Kiutajiri na Kiumaarifu kuliko Ali Kiba.
mshambuliaji wa abajalo ya sinza.Ali Kiba ndiyo nani huko Daslam?
Ngoja na mimi nichangie kdg, Ally alifanya vzr miaka hiyo uliyotaja, akavuma na akaeleweka, lkn kwa sbb hakuwa na maono yoyote kimuziki, alibweteka akaacha kutoa nyimbo na akasahaulika, hapo ndipo huyo kijana wa tandale akaibuka na maono makubwa kimuziki na njaa kali! akapokelewa vzr ndio Ally sasa anakurupuka kutoka huko alikotoka kuja na bifu uchwara ambalo ndio limemsaidia kukubalika na baadhi ya washabiki.Kwani alivyo Anza kuimba 2000+ diamond alikua wapi 🤔🤔 kipindi album ya kwanza ya Alikiba inavunja na kuweka rekodi ya mauzo diamond alikua wapi 🤔🤔 hata kama humkubali sio kuanza kuandika vitu ambavyo havina mantiki
Hata Vits zinauzwa sana kuliko Range Rover Bongo.Ila ulivosema diamond hajui kuimba nimekushangaa kama wangekuwa hajui kuimba nyimbo zake zisingekuwa zinauza sana, asingukuwa ana win tuzo kubwa
Hapa mwenyewe ndo nashangaaga mtu anakomaa kusema flani ana hela kuliko flani as if anapata hata mia kwa huyo mtu, mimi naangalia burudani wapi napata naishi humoUtajiri wake unakusaidia nini, watu tunataka mziki mzuri!
Naibu waziri mkuu na waziri wa nishatiAli Kiba ndiyo nani huko Daslam?
Kwani alivyo Anza kuimba 2000+ diamond alikua wapi 🤔🤔 kipindi album ya kwanza ya Alikiba inavunja na kuweka rekodi ya mauzo diamond alikua wapi 🤔🤔 hata kama humkubali sio kuanza kuandika vitu ambavyo havina mantiki
Kwanza kabisa Alikiba hajawahi kusahaulika hata mara moja hata kipindi hatoi nyimbo bado nyimbo zake ziliendelea kupigwa redioni na akaendelea kushindanishwa na vijana waliokua wanaibuka kipindi kile akiwemo diamond, kuto kuelewana kati yao kulitokea katika kipindi ambacho alikiba alikua hatoi nyimbo, kilicho mrudisha alikiba kwenye nafasi yake ni aina ya mziki anaofanya ndio maana anatoa nyimbo sio zaidi ya 5 kwa mwaka na bado watu wanamkubali, kama angekua hana maoni ya mziki basi angekua anafanya mambo mengine nje ya mzikiNgoja na mimi nichangie kdg, Ally alifanya vzr miaka hiyo uliyotaja, akavuma na akaeleweka, lkn kwa sbb hakuwa na maono yoyote kimuziki, alibweteka akaacha kutoa nyimbo na akasahaulika, hapo ndipo huyo kijana wa tandale akaibuka na maono makubwa kimuziki na njaa kali! akapokelewa vzr ndio Ally sasa anakurupuka kutoka huko alikotoka kuja na bifu uchwara ambalo ndio limemsaidia kukubalika na baadhi ya washabiki.
Ya misitu ya longidoMauzo gani?
Hajasema hajui kuimba kabisa ilaa kamaanisha alikiba anajua kuimba zaidi kuliko diamond ila sio mjasiriamali na mbunifu mzuri kuliko mon
Hata mimi nashangaahajui kuimba? Huwa anaongea kwa beats na musics?!
We umeelezea vizuriNgoja na mimi nichangie kdg, Ally alifanya vzr miaka hiyo uliyotaja, akavuma na akaeleweka, lkn kwa sbb hakuwa na maono yoyote kimuziki, alibweteka akaacha kutoa nyimbo na akasahaulika, hapo ndipo huyo kijana wa tandale akaibuka na maono makubwa kimuziki na njaa kali! akapokelewa vzr ndio Ally sasa anakurupuka kutoka huko alikotoka kuja na bifu uchwara ambalo ndio limemsaidia kukubalika na baadhi ya washabiki.
Ubunifu ndo upake mate nyoka aende pangoni..mwanao akija kuimba mbele yako utaridhika?Ali Kiba anajua Kuimba ila hana Ubunifu na Mvuto kwa hata tu Mashabiki wake.
Diamond hajui Kuimba ila ni Mwerevu, Mbunifu, Mtafiti, Mjanja na ni Mtu wa Kujichanganya hivyo ataendelea kuwa juu Kimuziki, Kiutajiri na Kiumaarifu kuliko Ali Kiba.