nurdin mataka
New Member
- Nov 26, 2016
- 3
- 0
Team zinawatoa watu akili...anashindwa kuiongelea Mwana yenye viewers 9m+Views Milioni ni Chache?? Aisee kweli hizi timu ni hatari.
Kwa kulalamika plus kulia sana ili mrad wamuonee hurumaamepataje tuzo za MTVEMMA 2016 THE BEST ACT OF THE YEAR
Alikiba a.k.a Mfalme wa bongofleva alitoa nyimbo ya AJE,may 19,mpaka sasa ina 4,855,844+ views.
Yeye ni mwanamuziki mkubwa hapa Tz na Afrika kiujumla.Ana mashabiki wengi sana.Sasa kama yeye ni mfalme mbona ana views chache/? Je ni kwa sababu,
1.Nyimbo zake ni mbaya?
2.Mashabik wake hawamsupport?
3.Amechokwa?
4.Hajipromote?
5.Hajulikani nchi nyingi?
6.Mshamba wa video?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] povuKwa kulalamika plus kulia sana ili mrad wamuonee huruma