Alikiba ana views chache youtube.Je ni nini kinamuangusha?

Alikiba ana views chache youtube.Je ni nini kinamuangusha?

Wimbo wa aje umekuja kuzimwa na darasa na ngoma yake ya muziki tu ila aje naiona ikiendelea kutamba tu kokoro iko wapi mbona siisikii
 
Jibu ni kuwa kiba hana fan base kubwa kama watu kwenye mitandao wanavyomsifia,tena hata hao wachache wapo Dar, na sio TZ nzima au Africa. We mwenyewe si unaona hata UG tu hakuna Promoter anayemtaka akapige shoo zaidi ya kwenda Mombasa kupiga shoo alizopewa offer na Gavana wa Mombasa ambaye ni jamaa yake. Achana na kelele za mitandaoni,kiba si lolote nje ya Dar.
 
Labda Hana pesa ya kununua views
 
Kiba kimuziki ameshindwa hata kuteka soko halisi la TZ hasa mikoani hana influence sikuambii nje ya nchi. Naikumbuka safari yake ya cheke tour ilivyoishia Arusha huku ikitakiwa azunguke nchi nzima.
 
Alikiba a.k.a Mfalme wa bongofleva alitoa nyimbo ya AJE,may 19,mpaka sasa ina 4,855,844+ views.
Yeye ni mwanamuziki mkubwa hapa Tz na Afrika kiujumla.Ana mashabiki wengi sana.Sasa kama yeye ni mfalme mbona ana views chache/? Je ni kwa sababu,
1.Nyimbo zake ni mbaya?
2.Mashabik wake hawamsupport?
3.Amechokwa?
4.Hajipromote?
5.Hajulikani nchi nyingi?
6.Mshamba wa video?

Zote ulizotaja ni sababu izo..alikiba ndio ma fovourite artist kwa bongo ila bado halijui soko la mziki limekaaje na anaridhika mapema..ye anajua akishaachia ngoma ndio bas io kilichobakia ni show tu na mkwanja alioutarget kupata..hajui kutumia social networks kuexplore fans..akiendelea ivyo ataishia kutoa mimbo tutaiskia kama mimbo mizuri na hatofika popote..
 
Back
Top Bottom