Alikiba anajua muziki zaidi ya Diamond

Yes mkuu King Kiba anajua sana kuimba ila watu wanatumia pesa nyingi kumfanya aonekane hajui kuimba
 
muda mwingine ila dhana ya wengi wape inaweza ikatugharimu sana
.
 
Mondi anajua kila kitu kuimba na kucheza,pia hata mademu wazuri ni mjanja wao ndio maana hata kiba anajaribu kupita sehemu alizoacha mondi ili angalau nae asafishe nyota. Kiba kwa sasa anasafiria nyota ya mondi
 
Ali kiba mbele ya Diamond🙄🙄🙄
#Only DIAMOND PLATNUMZ will make Bongoflavor great again-2016.
 
kumlinganisha Ali Kiba na Daimond inatakiwa iwe criminal offence- Daimond hana mpinzani East Africa
 
Ana staili ile ya kujipindapinda kama nyoka anakufata dah kila mtu anapima aonavyo
 
ni kweli kabisa, ila nahis management yake inamuangusha, check latest song aliyofanya na christian bella lazima umkubali kijana.
 
Miziki ya Ali Kiba ni inspirational,
Miziki ya Diamond ni Entertaining

Wengi wanapenda category ya pili, ya kwanza ni kama unataka faraja za dhiki zako na unasubiri Mungu ajibu maombi
 
Sawa tumekuelewa, kwaiyo unashauri nini…??
Maana ata marehem Ngulumo alikuwa anajua muzik zaidi ya Diamond na Ally kiba, pia TX Moshi (mungu amrehem) akijua sana music
sina lingine
 
Miziki ya Ali Kiba ni inspirational,
Miziki ya Diamond ni Entertaining

Wengi wanapenda category ya pili, ya kwanza ni kama unataka faraja za dhiki zako na unasubiri Mungu ajibu maombi
Well said.
 
Ulitumia vigezo gani.... kama unataka kuargue labda ungevitaja
 
diamond level nyingine Ali kimba nani anmjua huyo
 
Tayari hiko Mondi kabeba tuzo ya mwaka huu huko Nigeria.

Ali Kiba ni mwanamuziki mkubwa na anapaswa kuwa jirani na Mondi kwa mafanikio ya kifedha na run base. Tatizo kubwa kuna wajanja wamekaa kati kuhakikisha wanamdhulumu na kumpa fedha kidogo ili aendelee kuwa mtwana.

Tv na redio moja imejitolea ku mpromote kwa show zao ili wapige mpunga na wakimaliza wanamkandamiza ili asiwe huru kama Chibu.

Kama kweli una mapenzi ya dhati kwa Kiba msaidieni katika huu mnyororo.
 
Nyie michael jackson ndo mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…