Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
Yes mkuu King Kiba anajua sana kuimba ila watu wanatumia pesa nyingi kumfanya aonekane hajui kuimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muda mwingine ila dhana ya wengi wape inaweza ikatugharimu sanaWewe unasema lkn wasikilizaji ndyo wenye jibu, mbn hawi maarufu kama Diamond waTZ ndiyo shida yenu. Ni sawa kwa upande wako lkn kwenye vigezo vya wengi na utamu wa sauti wengi wape. Kama ana mashabiki wengi hapa ndani na nje kuliko Kiba ni dhahiri ni mzuri kuliko. Siyo mpenzi wa nyimbo zao lakini angalia mwitikio wa jamii maana hata ukapinga jamii inakukatalia.
Ali kiba mbele ya Diamond🙄🙄🙄
#Only DIAMOND PLATNUMZ will make Bongoflavor great again-2016.Ndugu wanajamii forum..leo nilipata nafasi nikaweza kusikiliza nyimbo za hawa wasanii wawili wakubwa wa Tanzania Alikiba pamoja na Diamond.Baada ya kusikiliza nyimbo nyingi za kila mmoja toka kipindi walichoanza kujulikana kimuziki nikaja gundua kuwa Alikiba anakipaji na anajua mziki zaidi ya Diamond.Sijaangalia vigezo vingine kama nani anakubalika zaidi au nani anahit zaidi kwa sasa. Ni maoni yangu binafsi so please argue and don't shout
God willing#Only DIAMOND PLATNUMZ will make Bongoflavor great again-2016.
Mungu hapendi uongo.Yes mkuu King Kiba anajua sana kuimba ila watu wanatumia pesa nyingi kumfanya aonekane hajui kuimba
ni kweli kabisa, ila nahis management yake inamuangusha, check latest song aliyofanya na christian bella lazima umkubali kijana.Ndugu wanajamii forum..leo nilipata nafasi nikaweza kusikiliza nyimbo za hawa wasanii wawili wakubwa wa Tanzania Alikiba pamoja na Diamond.Baada ya kusikiliza nyimbo nyingi za kila mmoja toka kipindi walichoanza kujulikana kimuziki nikaja gundua kuwa Alikiba anakipaji na anajua mziki zaidi ya Diamond.Sijaangalia vigezo vingine kama nani anakubalika zaidi au nani anahit zaidi kwa sasa. Ni maoni yangu binafsi so please argue and don't shout
sina lingineSawa tumekuelewa, kwaiyo unashauri nini…??
Maana ata marehem Ngulumo alikuwa anajua muzik zaidi ya Diamond na Ally kiba, pia TX Moshi (mungu amrehem) akijua sana music
Well said.Miziki ya Ali Kiba ni inspirational,
Miziki ya Diamond ni Entertaining
Wengi wanapenda category ya pili, ya kwanza ni kama unataka faraja za dhiki zako na unasubiri Mungu ajibu maombi
Kesho Naomba usikilize za Barnaba
Tena anaimba nyimbo za kusikiliza huwezi cheza!Ali Kiba hajui mziki ila anajua kuimba