Kuna kipindi Fulani kiba alikuwa anafanya vizuri Sana na ushindani wake na diamond ulikuwa mkubwa Sana ila kwa sasa umepungua sana kwa miaka hii miwili ngoma zake zimekuwa hazifanyi vizuri japo ni nzuri mfano ngoma yake mbio ni wimbo mzuri ukipinga hili nitakushangaa
lakini haikufanya vizuri,Kuna ngoma amefanya na aslay nayo ijafanya vizuri,Kuna ngoma amefanya na will Paul na ommy dimpoz nayo haijafanya vizuri wakati nandy amefanya na huyo huyo willypaul lakini imefanya vizuri.
ukija upande wa show mwaka Huu amepata show tatu tu na Kati ya hizo moja amefanya Uganda lakini haikujaza ingawa kiingilio kilikuwa Cha chini kilikuwa elfu 20 tu ya Uganda wakati diamond alifanya 50000 wakati vip ilikuwa mil 1 na akajaza tatizo la kiba ni wapi?mwenzake anazidi kupanda yeye anazidi kushuka hata Mario anamshinda kwa kufanya vizuri Sana kuliko za kiba.
je kwanini jamaa afanyi vizuri tatizo liko wapi kwa huyu kijana?