Alikiba anakwama wapi?

Alikiba anakwama wapi?

Kiba anameshafanya kolabo na chriss brown sema hapendi tu kujionesha subiri mtaona
 
Kiba ni mwanamuziki sio mfanyabiashara.
Ndio maana hajishughurishi kutafuta masoko.
Ila ipo siku atazitamani sana hizi nyakati maana anachezea shilingi karibu na tundu la choo
 
tatizo media zilizokua zinamjaza upepo aonekane mkubwa zaid hawakupata walichotaka ndo maana hata ukifuatilia sasa wanampa promo yakinafki si kama ya mwanzo OVA.
Hata kiba mwenyewe haitendei haki promo wanayompa ndio maana hao wanaompa promo dizain km wanakuwa disappointed
 
Kiba ni mwanamuziki sio mfanyabiashara.
Ndio maana hajishughurishi kutafuta masoko.
Ila ipo siku atazitamani sana hizi nyakati maana anachezea shilingi karibu na tundu la choo
Hadi sasa jamaa kashachezea shilingi kwenye tundu LA choo huyu mwamba kwa promo na support aliyopewa km angekuwa na akili km za diamond angefika mbali sana na angeweza hata kumkalisha mondi au kumpa jamba jamba jamaa mpaka aombe poo
 
Back
Top Bottom