Chikwangara
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 685
- 939
Kiba anashindana na WizKid!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kiba mwenyewe haitendei haki promo wanayompa ndio maana hao wanaompa promo dizain km wanakuwa disappointedtatizo media zilizokua zinamjaza upepo aonekane mkubwa zaid hawakupata walichotaka ndo maana hata ukifuatilia sasa wanampa promo yakinafki si kama ya mwanzo OVA.
Hadi sasa jamaa kashachezea shilingi kwenye tundu LA choo huyu mwamba kwa promo na support aliyopewa km angekuwa na akili km za diamond angefika mbali sana na angeweza hata kumkalisha mondi au kumpa jamba jamba jamaa mpaka aombe pooKiba ni mwanamuziki sio mfanyabiashara.
Ndio maana hajishughurishi kutafuta masoko.
Ila ipo siku atazitamani sana hizi nyakati maana anachezea shilingi karibu na tundu la choo