Alikiba anakwama wapi?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kuna kipindi Fulani kiba alikuwa anafanya vizuri Sana na ushindani wake na diamond ulikuwa mkubwa Sana ila kwa sasa umepungua sana kwa miaka hii miwili ngoma zake zimekuwa hazifanyi vizuri japo ni nzuri mfano ngoma yake mbio ni wimbo mzuri ukipinga hili nitakushangaa
lakini haikufanya vizuri,Kuna ngoma amefanya na aslay nayo ijafanya vizuri,Kuna ngoma amefanya na will Paul na ommy dimpoz nayo haijafanya vizuri wakati nandy amefanya na huyo huyo willypaul lakini imefanya vizuri.

ukija upande wa show mwaka Huu amepata show tatu tu na Kati ya hizo moja amefanya Uganda lakini haikujaza ingawa kiingilio kilikuwa Cha chini kilikuwa elfu 20 tu ya Uganda wakati diamond alifanya 50000 wakati vip ilikuwa mil 1 na akajaza tatizo la kiba ni wapi?mwenzake anazidi kupanda yeye anazidi kushuka hata Mario anamshinda kwa kufanya vizuri Sana kuliko za kiba.

je kwanini jamaa afanyi vizuri tatizo liko wapi kwa huyu kijana?
 
Jeuri na kiburi ndo tatizo haamini katika promotion wakati zama zimebadilika wasanii wake nao kawarithisha hivyo hivyo huo ujinga japo ni talented
 
Unamuongelea kiba gani mkuu? Yule wa Aje au?
 
Naona unajaribu kulinganisha msalaba na jumlisha(+), X na kuzidisha. Chibu ni level ya mbali sana usimweke kwenye sentence moja na Kiba.
 
Reactions: Qwy
Apendi show off..ujui kama juzi ali piga show uwanja wa taifa ukajaa.ila akaomba watu wasi post iwe siri yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Apendi show off..ujui kama juzi ali piga show uwanja wa taifa ukajaa.ila akaomba watu wasi post iwe siri yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aah aah aah!
 
tatizo media zilizokua zinamjaza upepo aonekane mkubwa zaid hawakupata walichotaka ndo maana hata ukifuatilia sasa wanampa promo yakinafki si kama ya mwanzo OVA.
 
tatizo media zilizokua zinamjaza upepo aonekane mkubwa zaid hawakupata walichotaka ndo maana hata ukifuatilia sasa wanampa promo yakinafki si kama ya mwanzo OVA.
Kumbe eeh!
 
Alikiba anapiga bangi sana
 
Ally kiba yupo bize analima matikiti mlandizi mziki anafanya lakini siyo kiivyo yni mziki burudani tu siyo biashara
😎😎😎😎😎😎
 
Hachangamkii fursa, bali anajibweteka akidhani fursa zitamchangamkia...


Cc: mahondaw
 
the guy is too much overrated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…