Alikiba analipwa Tsh ngapi kwenye shoo Moja...?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Wakuu
Nauliza huyu mfalme wa bongo fleva Alikiba analipwa ngapi kwa shooo moja? Kwa mfano nikitaka aje kuniimbia Usineseme kama napenda kula getoni kwangu yabidi niandae ngapi?

Halafu hivi kuna msaanii analipwa million kumi FIESTA?
 
Aha ila king Kiba haztak pesa ase
Kuna muda ataita show wanaenda watu Mia a nashindwa kupiga saiv wakat bado yupo kwenye pick
 
on around 30 million jaribu kugoogle utaikuta hiyo
 
Wakuu
Nauliza huyu mfalme wa bongo fleva Alikiba analipwa ngapi kwa shooo moja? Kwa mfano nikitaka aje kuniimbia Usineseme kama napenda kula getoni kwangu yabidi niandae ngapi?

Halafu hivi kuna msaanii analipwa million kumi FIESTA?
Utimamu ni pale unapopambana na WEWE wa leo usifanane na WEWE wa jana, Kudadisi maisha ya mtu analipwa sh ngapi anapata show ngapi haikupi faida yoyote, Achana na fikra za kitoto na ushabiki maandazi wa kisanaa, PAMBANA NA YULE WA JANA, ASIFANANE NA WEWE WA LEO, chase ur dreamz not competition. Too much concentration on other peoples life costs u alot in achieving what you want.
 
Wakuu
Nauliza huyu mfalme wa bongo fleva Alikiba analipwa ngapi kwa shooo moja? Kwa mfano nikitaka aje kuniimbia Usineseme kama napenda kula getoni kwangu yabidi niandae ngapi?

Halafu hivi kuna msaanii analipwa million kumi FIESTA?
ana Meneja wake,ungewasiliana naye ili upate taarifa sahihi
 
kiba haba thaman sana, hata milion 1 unamuimbisha tu au VP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…