Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu itakuwa karudishwa Ada..shule zimeanza kufungwa nadhani ni likizo ya Pasaka.
YULE HATA LAKI NANE ANABEBA MKUU.ILI MRADI APATE PROMO ZAOkiba huwa analipwa milioni moja na nusu
Shule znafungwa tarehe 23 mwez machishule zimeanza kufungwa nadhani ni likizo ya Pasaka.
Utimamu ni pale unapopambana na WEWE wa leo usifanane na WEWE wa jana, Kudadisi maisha ya mtu analipwa sh ngapi anapata show ngapi haikupi faida yoyote, Achana na fikra za kitoto na ushabiki maandazi wa kisanaa, PAMBANA NA YULE WA JANA, ASIFANANE NA WEWE WA LEO, chase ur dreamz not competition. Too much concentration on other peoples life costs u alot in achieving what you want.Wakuu
Nauliza huyu mfalme wa bongo fleva Alikiba analipwa ngapi kwa shooo moja? Kwa mfano nikitaka aje kuniimbia Usineseme kama napenda kula getoni kwangu yabidi niandae ngapi?
Halafu hivi kuna msaanii analipwa million kumi FIESTA?
ana Meneja wake,ungewasiliana naye ili upate taarifa sahihiWakuu
Nauliza huyu mfalme wa bongo fleva Alikiba analipwa ngapi kwa shooo moja? Kwa mfano nikitaka aje kuniimbia Usineseme kama napenda kula getoni kwangu yabidi niandae ngapi?
Halafu hivi kuna msaanii analipwa million kumi FIESTA?
hahahahahaYULE HATA LAKI NANE ANABEBA MKUU.ILI MRADI APATE PROMO ZAO