Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Mwanamziki wa youtube Sadala Anakimbizwa kweli kweli na mfalme wa Bongo fleva huko youtube,.
Sadala ngoma ina siku tatu
King Kiba ngoma ina siku mbili
Kwenye Digtal platform ndo usiseme Sadala anakimbizwa kweli kweli
View attachment 1837963
Sadala ngoma ina siku tatu
King Kiba ngoma ina siku mbili
Kwenye Digtal platform ndo usiseme Sadala anakimbizwa kweli kweli
View attachment 1837963