Alikiba anaongoza kwa video za low quality!

Alikiba anaongoza kwa video za low quality!

mzungu asiejua kiswahili skisngslis video ya aje au chekecha au mwana.hatoelewa kabisa nini kinaimbwa hata kwa picha.
lskini akiangalia video ya ntampata wapi,mdogomdogo,je utanipenda,ataelewa wimbo unahusu nini..

alikiba unajitahidi but huna ubunifu..
kama kitu hukipendi Jua kabisa siyo kwaajili yako. kwahiyo Archana nacho.
 
Mie ni mfuatiliaji wa bongo videos muda mrefu. Nimetazama video za Kiba tangu Sindelela mpaka Seduce me!

The man knows how to sing na ana sauti nzuri ya kuvutia ila kwa upande wa muonekano na mpangilio wa video yuko too shallow! Video inaongelea ugali yeye anaweka maringi ya bajaji, yaani hakuna uhusiano kabisa. Upande wa rangi napo ndo kabisa...poor colouring. Mfano hii Seduce me, hata kama ni mchana ukiingalia utafikiri uko shimoni japo ni kastyle kapya ka songi!

Aje pia mdundo uko bomba ila video too poor! Yale ma vampire aliyoweka cjui ndo alikuwa anayaita yaje?

Si vibaya kuchanganya ideas lakini ni vizuri zikaendana na theme ya wimbo!!

Let him learn from others! Kiba c wakuendeshwa kwa kiki, anajua kuimba ila ajirekebishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahhahahahahhah hard feelings bwana hivi jamani video ya aje si ndio iliopata tuzo jamani

WatsUp TV, organisers of the WatsUp TV Africa Music Video Awards (2016 WAMVA) have announced winners of its maiden edition of the pan-African entertainment awards meant to boost and encourage the production of quality music videos across Africa and beyond.

In a short winners announcement press conference in Accra, 22 winners emerged out of the over 170 music acts and video directors who were nominated when the awards was launched in September 2016.

Voted as the African Video of the Year was, Kidogo, a video by Diamond Platnumz from Tanzania ft P’Square and directed by Godfather.

Diamond also emerged the overall top winner with 3 including, Best African Combo Video and Best African Male Video.

Godfather also got voted the Video Director of the Year with the Kidogo video.
Overall winners in each category were determined by popular votes from fans of WINNER from across the world.

Winners are set to storm Ghana next year for a Made in Africa concert, a music festival by WatsUp TV which is set to feature music acts from across Africa and beyond.

Below is the full list of winners of the 2016 WatsUp TV Africa Music Video Awards

BEST AFRICAN NEW COMER VIDEO 2016 WINNER
Harmonize ft DIAMOND PLATNUMZ BADO – Tanzania

BEST AFRICAN REGGAE/DANCEHALL VIDEO WINNER
Shatta Wale – Chopkiss – Ghana

BEST AFRO POP VIDEO WINNER
Scientific ft Quincy B – Rotate – Liberia

BEST AFRICAN HIP HOP VIDEO WINNER
Iba One – Dokèra – Mali

BEST AFRICAN RnB VIDEO WINNER
Alikiba – Aje – Tanzania

BEST AFRICAN TRADITIONAL VIDEO WINNER
Tay Grin ft 2baba – Chipapapa – Malawi

BEST AFRICAN PERFORMANCE WINNER
DJ Arafat – Concert a Korhogo – Côte d’Ivoire

BEST AFRICAN DANCE VIDEO WINNER
Oudy 1er – Lokolo – Guinea

BEST INTERNATIONAL VIDEO WINNER
Beyonce – Formation – USA

BEST AFRICAN COMBO VIDEO 2016 WINNER
Diamond Platnumz ft AKA – Make Me Sing – Tanzania

BEST AFRICAN MALE VIDEO 2016 WINNER
Diamond Platnumz ft Psqaure – Kidogo – Tanzania

BEST AFRICAN FEMALE VIDEO 2016 WINNER
Vivian Chidid – Wuyuma – Senegal

BEST EAST AFRICAN VIDEO 2016 WINNER
Ali Kiba – Aje – Tanzania

BEST CENTRAL AFRICAN VIDEO 2016 WINNER
Ferre Gola ft Victoria Kimani – Tucheze – DR Congo

BEST NORTH AFRICAN VIDEO 2016 WINNER
Ibtissam Tiskat – Ma Fi Mn Habibi – Morocco

BEST SOUTH AFRICAN VIDEO 2016 WINNER
Cassper Nyovest – War Ready – South Africa

BEST WEST AFRICAN VIDEO 2016 WINNER
DJ Arafat – Maplôrly – Côte d’Ivoire

BEST AFRICAN GROUP VIDEO 2016 WINNER
Navy Kenzo – Kamatia – Tanzania

BEST AFRICAN VIDEO DIRECTOR 2016 WINNER
Godfather – Kidogo – Nigeria

WAMVA SPECIAL RECOGNITION AWARD
Mr Eazi ft Efya – Skin Tight – Nigeria

WATSUP TV VIEWERS CHOICE AWARD
Desiigner – Panda – USA
 
Mie ni mfuatiliaji wa bongo videos muda mrefu. Nimetazama video za Kiba tangu Sindelela mpaka Seduce me!

The man knows how to sing na ana sauti nzuri ya kuvutia ila kwa upande wa muonekano na mpangilio wa video yuko too shallow! Video inaongelea ugali yeye anaweka maringi ya bajaji, yaani hakuna uhusiano kabisa. Upande wa rangi napo ndo kabisa...poor colouring. Mfano hii Seduce me, hata kama ni mchana ukiingalia utafikiri uko shimoni japo ni kastyle kapya ka songi!

Aje pia mdundo uko bomba ila video too poor! Yale ma vampire aliyoweka cjui ndo alikuwa anayaita yaje?

Si vibaya kuchanganya ideas lakini ni vizuri zikaendana na theme ya wimbo!!

Let him learn from others! Kiba c wakuendeshwa kwa kiki, anajua kuimba ila ajirekebishe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli anaziharibu sana nyimbo zake nzuri kwa video mbovu..nyimbo nzuri kama mcmuga unaitengenezea video mbovu kama ile?.. au hata hii.seduce me!!..wimbo mzuri hivi lkn inakubidi utumie msuli kuielewa!!..hakuna hata kipande kitachokufanya utamani kuirudia!!..hata ukiirudia ni kwa sababu nyimbo nzuri tu na sio video!!..abadilike bana washabiki wake tusio na timu tunaanza kujitokeza tena sasa asituangushe tena
 
Nyie jamaaaa....!!!!

Mpaka nimekumbuka msemo wa wasomali "akili low"

Hongereni lkn...mnajitahidi kuonesha ufundi ktk vitu ambavyo hamna ujuzi navyo
 
Làiti kama angekuwa ametoa Chrissbrown video kama hiyo mngetoa kila aina ya pongezi lakini kisa Mtz mnaanza kumdis

Sent using Jamii Forums mobile app
7e11d3438b7bfcbaf55367836ae1a302.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katazame video ya French Montana unforgettable in views 315m ndani ya miezi 4...kafanya Uganda uswahilini ..Watanzania hatuna akili kinachoangaliwa ni ubunifu ..music video sio bongo movie#bongobahatimbaya
 
Mie ni mfuatiliaji wa bongo videos muda mrefu. Nimetazama video za Kiba tangu Sindelela mpaka Seduce me!

The man knows how to sing na ana sauti nzuri ya kuvutia ila kwa upande wa muonekano na mpangilio wa video yuko too shallow! Video inaongelea ugali yeye anaweka maringi ya bajaji, yaani hakuna uhusiano kabisa. Upande wa rangi napo ndo kabisa...poor colouring. Mfano hii Seduce me, hata kama ni mchana ukiingalia utafikiri uko shimoni japo ni kastyle kapya ka songi!

Aje pia mdundo uko bomba ila video too poor! Yale ma vampire aliyoweka cjui ndo alikuwa anayaita yaje?

Si vibaya kuchanganya ideas lakini ni vizuri zikaendana na theme ya wimbo!!

Let him learn from others! Kiba c wakuendeshwa kwa kiki, anajua kuimba ila ajirekebishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano Mwana
Video ingeendana na mwimbo ingehit sana
 
Katazame video ya French Montana unforgettable in views 315m ndani ya miezi 4...kafanya Uganda uswahilini ..Watanzania hatuna akili kinachoangaliwa ni ubunifu ..music video sio bongo movie#bongobahatimbaya
Kabisa mkuu anachokiimba na kinachoonyeshwa ni vitu viwili tofauti tatizo wabongo wamezoea video kama za zali la mentali utadhani unatazama filamu kumbe wimbo
 
Ni mwanamziki mkali but somtyms hata video iwe nzr kiaje kama haiendani na mwimbo ubora wake unapungua
 
Ni mwanamziki mkali but somtyms hata video iwe nzr kiaje kama haiendani na mwimbo ubora wake unapungua
Unforgetable ya french montana ina zaidi ya viewers 300, lakini umeona video yake na lyrics zake vitu viwilu tofauti
Hata pana ya tekno
Video za zali la mentali zinazokuwa kama movie zimepitwa wakati
 
Kuna msemo mmoja ulikuwa unasema "Gonga gogo usikie mlio wake".... Sijui maana yake lkn, ila kama ni kugonga gogo basi Ali Kiba ameligonga na sasa mlio unasikika. Ametoa wimbo tu yameibuka matusi, kejeri, dharau na kila kitu nadhani ile single 'seduce me' imeongea zaidi kuliko tunavyoisikiliza. Wameibuka wachambuzi wa kila aina.

"A voice of one calling in the wildernes"
 
Katazame video ya French Montana unforgettable in views 315m ndani ya miezi 4...kafanya Uganda uswahilini ..Watanzania hatuna akili kinachoangaliwa ni ubunifu ..music video sio bongo movie#bongobahatimbaya
yaani Montana angekuwa mmbongo angepondwa sana
 
Unforgetable ya french montana ina zaidi ya viewers 300, lakini umeona video yake na lyrics zake vitu viwilu tofauti
Hata pana ya tekno
Video za zali la mentali zinazokuwa kama movie zimepitwa wakati
Sabab yake ya kuwa mwanamziki mkubwa haimaanishi anapatia
Nenda kamkalipie mtu uku unacheka
 
Sabab yake ya kuwa mwanamziki mkubwa haimaanishi anapatia
Nenda kamkalipie mtu uku unacheka
Mkuu uzuri wa video siyo lazima aonyeshe kinachoimbwa na video za hivyo zinakuwa hazina ubunifu yani.
Angalia video kubwa kubwa za wenzetu waliotutangulia kwa utayarishaji wa script, directing, na technology video zao nyingi zinakuaje?
 
Unforgetable ya french montana ina zaidi ya viewers 300, lakini umeona video yake na lyrics zake vitu viwilu tofauti
Hata pana ya tekno
Video za zali la mentali zinazokuwa kama movie zimepitwa wakati
Dem boyz ya wiz khalifa....kinachoimbwa na kinachoonekana ni tofauti

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Back
Top Bottom