Alikiba Anazingua sana...

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Watanzania wakikutolea uvivuu kwenye mitandao ya kijamii utakubali show tuu.. Alikiba Katoa wimboo mbovu Sana ambao Audio yake aliitoa zamani now kafanya Video.. Kiukweli Nyimbo ni Mbovuuu mnoooo.. mbayaaaaaaaa...haiendani na hadhi yakeee! Aamue kushika Kimoja Kama Mziki afanye mziki au Acheze mpira tu tuelewe mojaa.. Poleni Sana mashabiki wake maana mnapata tabu Sana kumfananisha na #simbaaaaaaaaa
 
Sijui nani kamloga tena kibakuli [emoji53][emoji53][emoji53]
 
Umetoa ushauri mzuri, mwisho umezingu kumbe wewe ni mshabiki wa simbaaa
 
Ukiona wimbo haujauelewa basi jua HAUKUHUSU, ukiona akitajwa Kiba lazima na Mond atajwe jua ndie mpinzani wake, jikaze sio kwa ubaya... Lol.
 
Ukiona wimbo haujauelewa basi jua HAUKUHUSU, ukiona akitajwa Kiba lazima na Mond atajwe jua ndie mpinzani wake, jikaze sio kwa ubaya... Lol.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wimbo mkalii hata mtoto aliezaliwaa Leo Utamuhusuuu...!! Hiloo galasaaa asikilizee mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…