rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Watanzania wakikutolea uvivuu kwenye mitandao ya kijamii utakubali show tuu.. Alikiba Katoa wimboo mbovu Sana ambao Audio yake aliitoa zamani now kafanya Video.. Kiukweli Nyimbo ni Mbovuuu mnoooo.. mbayaaaaaaaa...haiendani na hadhi yakeee! Aamue kushika Kimoja Kama Mziki afanye mziki au Acheze mpira tu tuelewe mojaa.. Poleni Sana mashabiki wake maana mnapata tabu Sana kumfananisha na #simbaaaaaaaaa