brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Baada ya Wizkid kutumbuiza nyimbo zake zote ndipo alipopanda mzanii wa bongo Alikiba na alipoanza kuimba mike yake ikazima baada ya kurekebisha msanii uyo aliimba nyimbo 2 tu maarufu , nyimbo za mackmuga na aje na waandaji kumshusha ili chriss brown apande stegin
Chriss brown alitumbuiza kwa masaa 2 mfululizo.
Hata hivo kitendo hicho hakikufurahisha Alikiba ndipo waandaji walipomtuliza kwa kumpandisha tena stegin baada ya chriss brown kumaliza show yake.
Kifupi show haikudhuriwa na watu wengi kama ilivyotarajiwa wengi wakilaumu kiingilio