Alikiba apaform nyimbo 2 ashushwa Mombasa

Alikiba apaform nyimbo 2 ashushwa Mombasa

Mkuu soma tena badiko hapo chini mbona nimeandika kiba alirudi tena stegini au hujasoma bandiko lote? Soma kwa makini usitangulize hisia mkuu
Wala sina nia mbaya na wewe mkuu..

Tatizo ni hiyo heading...Na contents....Mtu akisoma heading anaenda moja kwa moja kwenye mawazo kwamba Ali Kiba aliperform nyimbo 2 tu kisha akashuhswa kumpisha CB...

Hata reactions za wengi humu ni kwamba AK aliimba nyimbo 2 tu na hakupata nafasi ya kuimba tena....

Ungeweza hata kubold hiyo sehemu uliyosema alirudi baadae....

One love....
 
Inawezekana una chuki dhidi ya huyo Ali Kiba...

Ila kusema kwamba aliimba nyimbo 2 akashushwaa ni uongo...Unatenda dhambi...

Mbona aliimba karibu nyimbo zake zote maarufu...MacMuga..Aje..Single Boy...Chekecha..Mwana n.k

Video hii hapa chini inatofautiana na ulichokiwek...


Kama wapo msibani jaman
 
Back
Top Bottom