Diamond amelipwa 90M na hajaenda kabisa.. Malizia basi.....[emoji3] [emoji3] [emoji3] mil.150? Jidanganyeni hivo hivo, wizkid mwenyewe kalipwa mil.80 alafu kiba ndo alipwe 150?
Ukweli huu au changa?Nyimbo mbili kwa mil 150 mbona poa tu
Teh teh kwani uliona cheki?[emoji3] [emoji3] [emoji3] mil.150? Jidanganyeni hivo hivo, wizkid mwenyewe kalipwa mil.80 alafu kiba ndo alipwe 150?
Fuatilia mkuuUkweli huu au changa?
Uhakika bila vithibitisho mkuu[emoji3] [emoji3] hiyo nakupa uhakika
Coastal unionKwani alikiba anachezea timu gan???
Sasa kwanini walimshusha?? Kwani nao wanang'oa viti?Coastal union