I like your thinking 😉. Umeleta maana tofauti kabisa na jinsi taarifa ilivyoletwaUzuri ni kwamba hakuimba bure hata izo mbili zinatosha
huu mchezo hauhitaji hasira..
Wala sina nia mbaya na wewe mkuu..Mkuu soma tena badiko hapo chini mbona nimeandika kiba alirudi tena stegini au hujasoma bandiko lote? Soma kwa makini usitangulize hisia mkuu
Itakuwa lipuli fcKwani alikiba anachezea timu gan???
Kama wapo msibani jamanInawezekana una chuki dhidi ya huyo Ali Kiba...
Ila kusema kwamba aliimba nyimbo 2 akashushwaa ni uongo...Unatenda dhambi...
Mbona aliimba karibu nyimbo zake zote maarufu...MacMuga..Aje..Single Boy...Chekecha..Mwana n.k
Video hii hapa chini inatofautiana na ulichokiwek...