Alikiba apata dili la billion kumi

Alikiba apata dili la billion kumi

Huyo alompa mwenyewe hio bilioni kumi hana!!acheni uongo alikiba anatembelea nyota ya diamond, mziki hana hamu nao tena ila nyie wenye chuki na mafanikio ya diamond ndio mnampush!
Alimleta Chris brown kwa bei gani.....huyo jamaa

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Inasemekana gavana joho kampa nyumba mombasa pamoja na gari aina ya range na billion kadhaa.

Huko marekani baada ya show ya kufa mtu last week p square wamemuomba collabo wamemlipa tsh 200m
20838144_1959959790948788_180119039924764672_n-jpg.573097
Wakazi wa pwani ya Mombasa sio watu wa kuwahamini sana naona kiba nakuanza kuwa legelege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana gavana joho kampa nyumba mombasa pamoja na gari aina ya range na billion kadhaa.

Huko marekani baada ya show ya kufa mtu last week p square wamemuomba collabo wamemlipa tsh 200m
20838144_1959959790948788_180119039924764672_n-jpg.573097
Uongo mtupu.
 
Back
Top Bottom