Alimleta Chris brown kwa bei gani.....huyo jamaaHuyo alompa mwenyewe hio bilioni kumi hana!!acheni uongo alikiba anatembelea nyota ya diamond, mziki hana hamu nao tena ila nyie wenye chuki na mafanikio ya diamond ndio mnampush!
Mbona comment yako imeniacha njia panda? jazia kidogo nyama lakini salama swahiba yangu huko?
Sijapenda tabia yako ya kumwita domo kaya. Malikia wake wa nguvu mfalume pamoja na kuwa ashatoboa kipini na heleni maandalizi ya kumfurahisha king kRaha ya huyu jamaa hana maisha ya show off za kupuuzi kama domo kaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepotea MNO... Ngoja nikualike mahaliMbona comment yako imeniacha njia panda? jazia kidogo nyama lakini salama swahiba yangu huko?
Wakazi wa pwani ya Mombasa sio watu wa kuwahamini sana naona kiba nakuanza kuwa legelegeInasemekana gavana joho kampa nyumba mombasa pamoja na gari aina ya range na billion kadhaa.
Huko marekani baada ya show ya kufa mtu last week p square wamemuomba collabo wamemlipa tsh 200m
hakuwepo siku ile alikuwa marekani mkuu cheki tarehe hapaAfadhali apewe nyumba,maana ile ya uswahilini aliona soo kutoka kuongea na shilawadu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mimi sijui
Uongo mtupu.Inasemekana gavana joho kampa nyumba mombasa pamoja na gari aina ya range na billion kadhaa.
Huko marekani baada ya show ya kufa mtu last week p square wamemuomba collabo wamemlipa tsh 200m
Alizaliwa na kukulia uswahilini.. Huo unaosema kauanza labda we ndio unamjua leoInaonekana anamkaribia kwa kasi ya ajabu,ndo maana diamond ameanza uswahili.