Alikiba ashinda tuzo Ufaransa, awabwaga Davido, Sarkodie, Yemi Alade na wengine

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
651
Alikiba ameshinda tuzo

Mkali huyo wa Aje ameshinda tuzo ya Chaguo la Watu (Prix du Public) kwenye tuzo za Ufaransa za Wana Music Awards zilizotolewa Ijumaa hii.

“Hii ilikuwa ni tuzo pekee ambayo ilikuwa wazi kwa watu kupiga kura mwaka huu na msisimko uliozalishwa na tuzo hii umevuka matarajio yetu kwa kuwa na majadiliano zaidi ya 30,000 kwenye matangazo yetu kupitia mitandao ya kijamii,” waandaji wa tuzo hizo Wana Corp wameandika kwenye tovuti yao.
Kwenye tuzo hiyo Alikiba alikuwa akichuana na Davido, Eddy Kenzo, Sarkodie, Serge Beynaud, Yemi Alade. Kulikuwa na jumla ya vipengele 14. Kundi la Sauti Sol nalo limeshinda kipengele cha kundi bora la mwaka.
 
Prix du public????
Sio choix du public kwa maana ya chagup la watu??
 
???
 
jamani msitudanganye kisa hatujui kifaransa,mhh!
 
bila shaka izi nazo zitakuwa tuzo mpya zilizoanzishwa mwaka huu
 
WANAMusic Awards 2016: The best African artists of the year!

By Wanateam / 0 Comments / December 30, 2016

Wanateam

As often, the musical year on the African stage was very rich. The opportunity for us to organize the second edition of the WANAMusic Awards, rewarding the best African artists in 2016 and to recall the main events of the year according to the WANATeam. 14 prizes are awarded.

Attention: Rewards are awarded based on our perception of artists' performance over the calendar year, ie from January 1 to December 30, 2016.

Audience Award: Alikiba - Tanzania

Nominees: Davido, Eddy Kenzo, Sarkodie, Serge Beynaud, Yemi Alade.

This was the only vote open to the public this year and the enthusiasm generated by this award went beyond our expectations exceeding 30,000 interactions for our publications on social networks! Among these mastodons of African music, the mobilization of the fans was impressive. But a winner has undoubtedly detached: the Tanzanian Alikiba! The King Kiba was able to count an exceptional fan community, the "Alikiba Blood Fans" to snatch victory. The year Alikiba was very successful with a signature at the giant Sony Music labels, a leading international award at the MTV Europe Music Awards as "Best African Act" and above all a piece appearing among the tubes of the " Year, the delicious "AJE". So many arguments for his fans to anticipate the Ugandan Eddy Kenzo and the Nigerian Wizkid.

The main information of this "Public Prize" is to see that our small website created in France can have links with a country like Tanzania thanks to Alikiba. Just for that, we say thank you to all those fans who have mobilized: a new link between Paris and Dar-Es-Salaam has been formed!
 
"Nadhani hata hii tuzo ilianzishwa ili kumbeba KIBA baada ya ile ya 'uchochoroni'..."
 
inabidi kiba amshukuru sana mondi bila yeye asingefika hapo, maana kabla ya bifu na mondi hata kenya walikua hawamjui! mwisho wa mwaka ndo huu, ni wakati sasa kiba kutoa shukrani kwa mondi, amenufaika sana kupitia yeye wala asione aibu, kutoa shukrani ni jambo la kawaida kwa kila mwanadam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…