Greatest Majani
Member
- Dec 29, 2016
- 21
- 4
King Kiba big up, maana Ghana umechukua mbili, Nigeria 1, France 1 within 2 days
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo Hadi Kombe la Dunia lingekuwa linapigiwa Kura Tungeshindaaa !Linapokuja suala la kupiga kura watz lazima tushinde tu mana hamna namna. Lakini wakisema likae jopo la majaji kiba hachomoki kokote. { samahani kiba fans ni ukweli tu}.
ukiongea hivyo basi mondi ndo anatakiwa amshukuru zaidi ali na wasanii wengine waliofanya hata sisi wapenda rap tuanze kupenda miziki ya kuimba alikiba ana mchango mkubwa wa kuwainfluence vijana kama mondi waimbe pamoja na kuwasafishia njia wakakuta game rahisi sanainabidi kiba amshukuru sana mondi bila yeye asingefika hapo, maana kabla ya bifu na mondi hata kenya walikua hawamjui! mwisho wa mwaka ndo huu, ni wakati sasa kiba kutoa shukrani kwa mondi, amenufaika sana kupitia yeye wala asione aibu, kutoa shukrani ni jambo la kawaida kwa kila mwanadam!
The same goes to diamomdLinapokuja suala la kupiga kura watz lazima tushinde tu mana hamna namna. Lakini wakisema likae jopo la majaji kiba hachomoki kokote. { samahani kiba fans ni ukweli tu}.
Wakati kiba anafanya ngoma na RK kelly mond alikuwa anauza mitumbainabidi kiba amshukuru sana mondi bila yeye asingefika hapo, maana kabla ya bifu na mondi hata kenya walikua hawamjui! mwisho wa mwaka ndo huu, ni wakati sasa kiba kutoa shukrani kwa mondi, amenufaika sana kupitia yeye wala asione aibu, kutoa shukrani ni jambo la kawaida kwa kila mwanadam!
Teh teh mshakuja na jingine..kazi mnayo..akianza kupata show sijui mtasemaje!!Inabidi athibitishe sasa u'kimataifa' wake kupitia deals, sio unapata mituzo ya kimataifa halafu unapiga show za club
Wakati diamond anapiga show uwanjani Ali kiba anapiga show uchochoroni!Wakati kiba anafanya ngoma na RK kelly mond alikuwa anauza mitumba
Duh!kumbe akianza?Teh teh mshakuja na jingine..kazi mnayo..akianza kupata show sijui mtasemaje!!