Alikiba ashinda tuzo Ufaransa, awabwaga Davido, Sarkodie, Yemi Alade na wengine

Mimi always nasema alikiba anaimba mziki mzuri na unaoeleweka na kusikilizwa na rika zote katika jamii ushauri wangu kwa wasanii wengine fuateni nyayo za alikiba huu ujanja ujanja katika muziki hautawafikisha popote imbeni mashairi ya yenye maana nayanayo eleweka ktk jamii
 
Inabidi athibitishe sasa u'kimataifa' wake kupitia deals, sio unapata mituzo ya kimataifa halafu unapiga show za club
 
ukiongea hivyo basi mondi ndo anatakiwa amshukuru zaidi ali na wasanii wengine waliofanya hata sisi wapenda rap tuanze kupenda miziki ya kuimba alikiba ana mchango mkubwa wa kuwainfluence vijana kama mondi waimbe pamoja na kuwasafishia njia wakakuta game rahisi sana
 
Wakati kiba anafanya ngoma na RK kelly mond alikuwa anauza mitumba
 
Inabidi athibitishe sasa u'kimataifa' wake kupitia deals, sio unapata mituzo ya kimataifa halafu unapiga show za club
Teh teh mshakuja na jingine..kazi mnayo..akianza kupata show sijui mtasemaje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…