Alikiba ashinda tuzo Ufaransa, awabwaga Davido, Sarkodie, Yemi Alade na wengine

Linapokuja suala la kupiga kura watz lazima tushinde tu mana hamna namna. Lakini wakisema likae jopo la majaji kiba hachomoki kokote. { samahani kiba fans ni ukweli tu}.
Tuzo kama zipi kwa mfano..!?
 
Tuzo hata hazijulikani ndo tuzo gani izo mi nkajua Mtv
 
Hongera Ali Kiba,aiseeeee wimbo wa Aje ni noma.
Wimbo mmoja tu mituzo kibao?
Dah
VIP kuhus show mbonahatusikii kufanya show hata moja za kimataifa kwa wimbo huo mmoja.
By the way hizi tuzo zimeanza lini mama The bold?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…