Hiyo ni kazi ya management yake acha kutokwa povu hapa.Sisi tubaki kama mashabiki tu na kumsapoti katika kila atakachokifanya.
Nmewaza MELTDOWN ya JF kama Kiba Angeamua kuimba Taarab kama msanii wetu mkubwa Diamond!!!
Manake kiba katoa Chekecha, tukawaambia Music umekuwa biashara siku hiz, LAKINI bado ndugu Kiba akapondwa saaaaana, but sahiv "msanii mkubwa" kaamua kutuletea "Mipasho" naona mnayarudia yale mliyokuwa mnayaponda katika mantiki nzima ya Ngoma ya Kiba!!!
Sema siku zote MAISHA HAYAENDI BILA UNAFIKI!!!!
nimefuatwa na mashehe 50 wa B/Moyo wamekuja kunishawishi nikusifie...( nimevutiwa na unavo-argue, soo cynical )Can't believe this! Hizi sifa leo sio kawaida kabisa...Anyways,thanks again.
Nani amekuambia kiba anashindana na diamond!
mashabiki kama nye mnalazimisha wasanii washindane wakati wenyewe hawashindani
mkuu kwa haya mabaya si uwe mke wa diamond akiachana na zariView attachment 238991anatisha sanaaaaaa
kila atakacho kifanya?Hiyo ni kazi ya management yake acha kutokwa povu hapa.Sisi tubaki kama mashabiki tu na kumsapoti katika kila atakachokifanya.
Mi ni team alikiba forever ila jamaa anazingua na sijui anajskia au vp maana kila siku anaambiwa haskii kama atataka kushindana na diamond naona kachelewa sana katoa audio ya chekecha cheketua siku hizi video ndo inakutambulisha kimataifa kakaa kama mjinga fulani diamond katoa video ya nyimbo yake nyimbo ya kawaida sana Sema hafanyi kama Kiba kutanguliza audio dogo mjanja sana katoa video akijua itazidi kumtambulisha kimataifa naona Namibia Ghana nigeria botswana wanacomment kuhusu video alikiba unalala tuu tuwe wawazi team Kiba Tunajua diamond yupo juu Sema diamond Hana kipaji kama alikiba ila ukiendelea hivi utakimbiwa halafu dogo ana dharau ndo maana Hata instagram hajamfollow mtu yoyote diamond big up ishu ni kujulikana kimataifa maana Tanzania umemaliza tayari Kiba ukitaka kuwa juu sikiliza mashabiki acha dharau na angalia soko linaendaje acha ujinga team Kiba tupo pamoja ni ushauri maana tunataka ujulikane Dunia nzima kama r Kelly anakujua why Dunia isikujue jitambue
mkuu kwa haya mabaya si uwe mke wa diamond akiachana na zari