Alikiba atazidi kupitwa kila siku

Alikiba atazidi kupitwa kila siku

Nmewaza MELTDOWN ya JF kama Kiba Angeamua kuimba Taarab kama msanii wetu mkubwa Diamond!!!

Manake kiba katoa Chekecha, tukawaambia Music umekuwa biashara siku hiz, LAKINI bado ndugu Kiba akapondwa saaaaana, but sahiv "msanii mkubwa" kaamua kutuletea "Mipasho" naona mnayarudia yale mliyokuwa mnayaponda katika mantiki nzima ya Ngoma ya Kiba!!!

Sema siku zote MAISHA HAYAENDI BILA UNAFIKI!!!!

Ujue MosDef nakuelewa sana.Tokea mwanzo nimekaa kimya nione watu watakavyoingia chaka hapa maana hawaelewi unamaanisha nini.
Na hata baada ya kusema hivi bado tu....Hahahaaa kuna watu vilaza sana aisee.
 
Last edited by a moderator:
Can't believe this! Hizi sifa leo sio kawaida kabisa...Anyways,thanks again.
nimefuatwa na mashehe 50 wa B/Moyo wamekuja kunishawishi nikusifie...( nimevutiwa na unavo-argue, soo cynical )
 
Nani amekuambia kiba anashindana na diamond!
mashabiki kama nye mnalazimisha wasanii washindane wakati wenyewe hawashindani

Nadhaniii hili ndilo watu wanashindwa kung'amua, ila itafika sehemu hata huyo wanayemuona bora baadae watamsema kwa mabaya, binadaam kiumbe kigumu Sana kuridhika hata ukifanyie vipi keshoo kitakujaa na lawamaa! Duuuuh
 
Wabongo bwana ...ally kiba kufanya kazi na R kelly sio kwamba R kelly alikuwa anamjua kabla ,,huo ni mchongo tu wa Airtel ambao zali lilimkuta kiba akachaguliwa ,, na kulikuwa na wasanii kama Mr blue ambao waliringia nafasi hiyo ndo ikabidi ally aende....

Kuhusu suala la video ...video za ally kiba zote huwaga ni za kawaida sana (mwana)na mbaya kama(cinderella) kwahyo huwezi jua labda anajipanga atoe video kali itakayokubalika kupita zingine...

Sio vizuri kuwashindanisha ally na daimond kwa sababu "Dai"ndo syllabus ya muziki wa bongo... LZima watu wamuige au wafanye chochote kupitia mgongo wake ili watoboe... Mfano alivyomkutanishs shetta na kcee
 
acheni majungu KIBA ANATISHAAAAAAAA

ImageUploadedByJamiiForums1427660120.629471.jpganatisha sanaaaaaa
 
Me ni shabiki wa Mond, lakini Ali Kibabu akitoboa kimataifa nitafurahi kwa sababu anatuwakilisha wote, kwa hiyo msimshambulie jamaa katoa maoni yake, ingawa machungu fumbeni macho myameze hivyo hivyo!!

Hata mimi namshauri atoe video ya ule wimbo wake wa harusi wa kimasomaso! Tena aende kwa hanscana lazima atoboe mpaka kwa kina Dom Jazy!
 
Ally kiba amesharidhika na tamasha la fiesta.
Mwaka mzima anajipanga na fiesta 2015 hayo mambo ya kimataifa amemuachia mond
 
Mi ni team alikiba forever ila jamaa anazingua na sijui anajskia au vp maana kila siku anaambiwa haskii kama atataka kushindana na diamond naona kachelewa sana katoa audio ya chekecha cheketua siku hizi video ndo inakutambulisha kimataifa kakaa kama mjinga fulani diamond katoa video ya nyimbo yake nyimbo ya kawaida sana Sema hafanyi kama Kiba kutanguliza audio dogo mjanja sana katoa video akijua itazidi kumtambulisha kimataifa naona Namibia Ghana nigeria botswana wanacomment kuhusu video alikiba unalala tuu tuwe wawazi team Kiba Tunajua diamond yupo juu Sema diamond Hana kipaji kama alikiba ila ukiendelea hivi utakimbiwa halafu dogo ana dharau ndo maana Hata instagram hajamfollow mtu yoyote diamond big up ishu ni kujulikana kimataifa maana Tanzania umemaliza tayari Kiba ukitaka kuwa juu sikiliza mashabiki acha dharau na angalia soko linaendaje acha ujinga team Kiba tupo pamoja ni ushauri maana tunataka ujulikane Dunia nzima kama r Kelly anakujua why Dunia isikujue jitambue

sio kwa ukweli huu!!!
 
mkuu kwa haya mabaya si uwe mke wa diamond akiachana na zari

We unaonaje kwa hayo mazuri ukimzalia kiba mtoto wake wa nne... Technically ukawa mke wake wa 4
 
Halafu..kuna video moja la kinyama sana dogo ilikuwa alishushe baada ya Pasaka tu sema sasa na hili suala la Abdu Bonge sijui itakuaje....ila Mond Mnyama sana...kiba maringo mengi sana yaani full dharau ...japo ana kipaji
 
Mi ni team alikiba forever ila jamaa anazingua na sijui anajskia au vp maana kila siku anaambiwa haskii kama atataka kushindana na diamond naona kachelewa sana katoa audio ya chekecha cheketua siku hizi video ndo inakutambulisha kimataifa kakaa kama mjinga fulani diamond katoa video ya nyimbo yake nyimbo ya kawaida sana Sema hafanyi kama Kiba kutanguliza audio dogo mjanja sana katoa video akijua itazidi kumtambulisha kimataifa naona Namibia Ghana nigeria botswana wanacomment kuhusu video alikiba unalala tuu tuwe wawazi team Kiba Tunajua diamond yupo juu Sema diamond Hana kipaji kama alikiba ila ukiendelea hivi utakimbiwa halafu dogo ana dharau ndo maana Hata instagram hajamfollow mtu yoyote diamond big up ishu ni kujulikana kimataifa maana Tanzania umemaliza tayari Kiba ukitaka kuwa juu sikiliza mashabiki acha dharau na angalia soko linaendaje acha ujinga team Kiba tupo pamoja ni ushauri maana tunataka ujulikane Dunia nzima kama r Kelly anakujua why Dunia isikujue jitambue

hah hah hah huyo ashachemsha...
kafturu saa kumi na moja jioni...yaani hata adhana bado ye keshafakamia uji.

ni mjinga, punguani, zezeta, mpumbavu aliekosa washauri na hataki ushauri.

karidhika na kazi zake kuwika Bongo na nchi za jirani, hajui kuwa Muziki au mwanamuziki anatakiwa apenye all over the World.

sasa yeye kaganda hapahapa miudenda inamchuruzika tu.

shame on Him
 
Binafsi nilipata bahat ya kuonana na kuongea na Kiba, haonesh km anahtaj Kuwa kule mashabik wanataka, hafkrii makubwa hataman makubwa, niliongea nae kiref lakn sidhan km anataman awepo Kule nilimpa idea nzur sana ya video ya mwana, ambayo kila MTU alikuwa anaikubal hata yeye aliipenda eti akaogopa kufanya kisa ashaanza kushoot matokeo kashoot video yenye idea mbov, kwa kipaj namkubal Kiba kipaji anacho ila kwa juhud, kujtambua na Tamaa ya kusonga mbele diamond ndio kiboko yao. Km Messi name cr7 m1 ana kipaj na mwngne anajiboost afke kule alikokuwa anapaota, Kule ndoto zake zinaishi.
 
kwan humu ndan kiba hana hata ndugu amwambie jamani.... cheketua yake inapotea ivooo hatumuelewii ajiongezeee
 
Back
Top Bottom