Alikiba atazidi kupitwa kila siku

Alikiba atazidi kupitwa kila siku

Maskini kiba hawajali mashabiki wake yaan video mpaka leo ya cheketua lo,yaan team kiba washanganda mpaka basi wanjifariji masikin yaan kiba ni sawa na arsenal

King wakati wake ulishaisha....
Cheketua mwisho msata nasema nawe ndio habareee ya mujini
 
hah hah hah huyo ashachemsha...kafturu saa kumi na moja jioni...yaani hata adhana bado ye keshafakamia uji.ni mjinga, punguani, zezeta, mpumbavu aliekosa washauri na hataki ushauri.karidhika na kazi zake kuwika Bongo na nchi za jirani, hajui kuwa Muziki au mwanamuziki anatakiwa apenye all over the World.sasa yeye kaganda hapahapa miudenda inamchuruzika tu.shame on Him
hahahahahaaa, one of the best comments around these parts
 
hah hah hah huyo ashachemsha...
kafturu saa kumi na moja jioni...yaani hata adhana bado ye keshafakamia uji.

ni mjinga, punguani, zezeta, mpumbavu aliekosa washauri na hataki ushauri.

karidhika na kazi zake kuwika Bongo na nchi za jirani, hajui kuwa Muziki au mwanamuziki anatakiwa apenye all over the World.

sasa yeye kaganda hapahapa miudenda inamchuruzika tu.

shame on Him

"Mjinga, punguani, zezeta".....
Umefurahi mwenyewe, usingemtukana usinge eleweka!!
 
Nye bhana kiba hashindani,kwanini mnamshindanisha asiyeshindana
Kwanini usingemuhoji mleta mada ambae amesema yeye ni shabiki wa Ali Kiba lakini kwenye thread yake kamwingiza Diamond? Tuache unafiki hapa... watu wa Kiba wanataka kumshindanisha Kiba na Diamond na huo ndio ukweli wenyewe na hata wewe mwenyewe unafahamu hilo!
 
Mi ni team Ali Kiba forever ila jamaa anazingua na sijui anajisikia au vipi maana kila siku anaambiwa hasikii kama atataka kushindana na Diamond naona kachelewa sana.

Katoa audio ya chekecha cheketua siku hizi video ndio inakutambulisha kimataifa kakaa kama mjinga fulani, Diamond katoa video ya nyimbo yake nyimbo ya kawaida sana Sema hafanyi kama Kiba kutanguliza audio.

Dogo mjanja sana katoa video akijua itazidi kumtambulisha kimataifa. Naona Namibia, Ghana, Nigeria, Botswana wanacomment kuhusu video. Ali Kiba unalala tu.

Tuwe wawazi team Kiba Tunajua Diamond yupo juu Sema Diamond Hana kipaji kama Ali Kiba ila ukiendelea hivi utakimbiwa halafu dogo ana dharau ndo maana Hata instagram hajamfollow mtu yeyote.

Diamond big up ishu ni kujulikana kimataifa maana Tanzania umemaliza tayari Kiba ukitaka kuwa juu sikiliza mashabiki acha dharau na angalia soko linaendaje acha ujinga team Kiba tupo pamoja.

Ni ushauri maana tunataka ujulikane Dunia nzima kama R Kelly anakujua why Dunia isikujue? Jitambue.
Robert Kelly alishamsahau wewe!
 
haha ha ha haaa..................
 
Ni ujinga kusema kazi ya management, sasa km management inamfelisha asiwe -----.. Basi hyo management take pumba tupu, haionesh nia ya dhat kumtoa kitaifa kumpeleka kimataifa, aende name wakat bhana.. Sidhan kama diamond wakat anahangaika alikuwa n management nzur, Hawa wote wamekuja baada ya kuonesha kitu..

Mi siamini kama management ya diamond ndo imemtoa kimataifa.sikatai kwa hapa tz management ya babu tale na fela ziko poa..ila kwenye level za kimataifa sidhani..diamond amepasua kimataifa kutokana na juhudi zake plus support ya mafans..dogo ana njaa ya mafanikio na anajua kuitumia fursa pale inapojitokeza...kiba alikuwa kwenye project ya r-kelly..ilikuwa ni nafasi yake pia kutengeneza connection na wasanii wengine..ila kutokana na mablue ya kiba na kujifanya ye ni bora sana nadhani ye ndo alikuwa anasubiri aombwe collabo na wasanii wenzake...
 
Kiba alikuwa zamani,sasa ivi no sawa na nyanya mbovu/masalu.

Kiba wa sasa inabidi ashindanishwe na yule kiba wa zamani..akimshinda ndo tutaweza kumshindanisha na diamond
 
Nadhaniii hili ndilo watu wanashindwa kung'amua, ila itafika sehemu hata huyo wanayemuona bora baadae watamsema kwa mabaya, binadaam kiumbe kigumu Sana kuridhika hata ukifanyie vipi keshoo kitakujaa na lawamaa! Duuuuh

Kila jambo na wakati wake mkuu..kama mtu kiwango kikishuka watu wataongea tu..ts all bout gud music..ukifanya vizuri utasifiwa na ukizingua utaambiwa..mashabiki sio ndugu zako..hujazaliwa nao..wanaweza kuja na kuondoka muda wowote..kiunganishi pekee cha wewe na wao ni kazi nzuri..
 
Ally kiba amesharidhika na tamasha la fiesta.
Mwaka mzima anajipanga na fiesta 2015 hayo mambo ya kimataifa amemuachia mond

Hahahahaa....utani ila kama kuna ukweli
 
Back
Top Bottom