Alikiba athibitisha kumtimua kazi meneja wake wa kike

Alikiba athibitisha kumtimua kazi meneja wake wa kike

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Baada ya seven, Kiba atimua meneja wake mwingine
1593860692183.png

======

ALIKIBA ATHIBITISHA KUMTIMUA KAZI MENEJA WAKE WA KIKE, ATOA SABABU HIZI

‘Ni kweli sifanyi nae kazi tena. Ni taratibu za kazi, amekuwa na mchango kwenye kampuni yetu katika kipindi cha nyuma, lakini kuna vitu vilitokea and some misunderstanding na management tukakubaliana tumuondoe. Lakini sio kwamba hawezi kazi, hapana, ni mchapakazi lakini alienda kinyume kidogo na kazi vilitufanya sisi kumuondoa.”

Kuhusu kwamba hili litaleta shida kwenye kampuni hasa baada ya hivi karibuni kuacha kufanya kazi na Seven na sasa Esilovey, @officialalikiba akajibu: “ Hapana, haitoleta taabu hata kidogo, @esilovey1 alikuwa mtu ambaye alikuwa anapenda kufanya hiyo kazi (Aliyoacha Seven) lakini hakuwa na experience, lakini kwa muda huu akae kujifunza zaidi how to manage. Siku zote alizokuwa kwetu alikuwa akifanya kazi kwa kushirikiana na @beingaidancharlie ambaye ndio alikuwa akimpa muongozo. Esi alikuwa anatokea mbele kwanza kutokana na bidii yake lakini pia alikuwa napenda kufanya hivyo.”

Kuhusu nani ataziba pengo la @esilovey1 , @officialalikiba amesema: ‘Hakuna pengo, kila kitu kipo sawa, ndio maana hatujaona haja kuongeza mtu mwingine.”#bongo5updates

(📹 credit Soudy Brown) written and edited by @el_mandle
 
Meneja katimuliwa! Ok aajiriwe mwingine
 
Huyu kiba bwana, mziki ushamshinda anatolea mameneja wake hasira kwa kuwafukuza!
Halafu hivi ni aliyemloga kuajiri mameneja wa kike!? Utashangaa kumsikia akitafuta mchawi!
 
Alikiba ni kama Muhammar Gaddafi alikuwa bodyguard wake walikuwa ni wa kike tu naona jamaa yetu pia kaamua Meneja zake ni wakike tu
 
Huyo meneja kaolewa? Manage si kwa shindu lile alilo libeba.

Ila kama wameachana kwa heri sawa,ila kama kwa shari kuna mengi tutayasikia,kwani wanawake hawajui kukaa na kitu moyoni.
 
Back
Top Bottom