English ya kuongea ni tofauti na ya kuandika mkuu
Angekaa tu kimya ingemsaidia. Kama kaponda watz wanaomponda huyo jamaa yake ndo mwanzo wa kujichimbia shimo mwenyewe.
Kimya ni kinga nzuri sana kibiashara, though me siyo fan wa haya matakataka, so called bongo fleva😎
Amefanya jambo sahihi kwenye huu mziki wa Africa Wizkid ni mtu mkubwa sana wanasema bosi anuniwi hata siku mojaAli Kiba na team yake walitakiwa kufanya walichofanya, huwezi kuji associate na watu wanaofanya ujinga kama ule.
Professionally alitakiwa kufanya hivyo, otherwise na wewe ni among hizo team MAVI.
Hatamae Alikiba ametoa tamko rasmi kuwataka mashabiki wake kuacha kumtukana Wizkid kwenye mitandao , hii imetokana na alikiba kupewa tuzo ya mtv ema aliyokuwa amepewa mwanzo wizkid
Mashabiki hao walivamia ukurasa wa Wizkid na kuporumosha matusi mazito.
Alikiba amesema Wizkid ni msanii alefanikiwa zaidi mwaka huu na yeye ni mmoja wa mashabiki zake
View attachment 432652
Waziri Mkuu wa IsraelAlikiba ndio nani???
Poa tu ila ujumbe umefika na kama magu tu.Atakuwa kaandikiwa na Kidoti.
Kahangaika vipi wakati ameshow love kwa msanii mwenzake na kukanusha ujinga unaofanywa na team mavi.Ali Kiba anahangaika sana kwenye social media kupata kick...
.
Aboreshe muziki wake na maonyesho yake badala ya kulalama tu mtandaoni.
Okkk nimekuelewaaWaziri Mkuu wa Israel
cion vibaya mtu ukisaidiwa usicho kiweza , so ulitaka aandike broken ili mpate la kuongeaKidoti anahusika ktk kuandika hii Post
Miss Tanzania 2006Alikiba ndio nani???