Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiba ndio keshapata adhabu ya kujitetea kwa roll model wake we endelea kujaribu kubadilisha mada.Insta kuanzia timu kiba diamond zarina asilimia kubwa hutukana tu bila sababu ya msingi tena majority ni machoko kabisa sasa kuja hapa kutetea upande mmoja si kweli.
Achana nao,kwani aliyeomba msamaha ni nani.Ivi kwann !!!eti now team mond ndo wamemtukana wizkid sasa hii 2much
Ndio mungemwambia kiba HUSIPATE TABU YA KUJITETEA KWASABABU WANAOFANYA HIVO SIO "WATU WAKO" LAKINI KWASASA NDIO IMESHAANDIKWA KWENYE KUMBUKUMBU KUWA KIBA ALISHAWAHI KUOMBA MSAMAHA KWA WIZKID NA ALISHAWAHI KULILIA TUZO.Alafu walivyowajinga waandika kabisa eti tumetumwa na kiba himself.
Atakuwa kaandikiwa na Kidoti.
Afu hichi kitu ata mm kinanishangaza sana kila likitokea baya kwa kiba wakulaumiwa ni domo ebu mwacheni mtt wa watu mbona hana time kabisa na nyie kila kitu kumsingizia yeye tu na team yake....wakat team wamekesha wakitukana kwenye page za MTV na wiz leo wamepata walicjokuwa wanalilia kibao kimemgeukia domo daah punguzen chuki sasaAchana nao,kwani aliyeomba msamaha ni nani.
Kiba yeye anajisafisha kwa Wizkid kwasababu ndio anayemjua sababisho la yeye kutukanwa sio huo ujinga wako UNAOUSEMA HAPA,na hata huyo Wizkid hawezi kusikia huo ujinga ukimwambia,kwasababu meneja wa Wizkid ndio meneja wa MOND kwa west africa. Ukiona/kusikia shoo ya MOND west africa basi meneja wa wizkid kawezesha.
Kiba ndio keshapata adhabu ya kujitetea kwa roll model wake we endelea kujaribu kubadilisha mada.
Huyu aliyejibiwa na wizkid ukienda kwa post zake huwa ana mpost domo, na tiffah so hapo its obvious anajulikana ni timu gani.Kumbe unalifahamu hilo kwann useme Waliokuwa wanamtukana wizkid team domo, d cku zote ni mtu wa kutupiwa lawama kutoka upande wa pili
Hawajui hata kudaganya aisee hapo direct unajua ni mtu wa timu flani anayetafta uchonganishi tu wa wasanii. Ubaya wa hizi timu ni kutumia nguvu nyingi kutukana na, msanii hata akifanya jema inakuwa kosaAlafu walivyowajinga waandika kabisa eti tumetumwa na kiba himself.
Kiba ndio keshapata adhabu ya kujitetea kwa roll model wake we endelea kujaribu kubadilisha mada.
Kupost picha za mtu haimanish unamshabikia msipende kumwingiza domo kwenye mambo yenu ya kipumbavu muwe mnayamaliza wenyewe hii kitu inanikera utafikili mm ndo naambiwa....punguzen chukiHuyu aliyejibiwa na wizkid ukienda kwa post zake huwa ana mpost domo, na tiffah so hapo its obvious anajulikana ni timu gani.
Huyo ni timu domo hafu kamsingizia kiba tena alivo mjinga hakufta hizo picha kwanza ukute hilo ni fekero la daymond au sallam maana ndo zao hzoKupost picha za mtu haimanish unamshabikia msipende kumwingiza domo kwenye mambo yenu ya kipumbavu muwe mnayamaliza wenyewe hii kitu inanikera utafikili mm ndo naambiwa....punguzen chuki
Huna fact unabwabwaja tu 1/4 inakuhusuHuyo ni timu domo hafu kamsingizia kiba tena alivo mjinga hakufta hizo picha kwanza ukute hilo ni fekero la daymond au sallam maana ndo zao hzo
Povu veeepeeeHuna fact unabwabwaja tu 1/4 inakuhusu
Ukari =ukaliwatu kma nyie ni ngumu kufanikiwa samahani lkn kwa ukari wa maneno
Hata siyo mnafiki, kafanya kitu sahihi kwa mda sahihiAmefanya kitu kizuri, lakini huyu kaka ni mnafiki fulani hivi, vita imeisha amerudishiwa tuzo yake now ndio anayasema hayo It's good tho.
He's human too not an angelic creationAnatafuta kiki tu!!hiyo team yake mbona ndiyo imemsaidia mpaka kupata tuzo kwa kuwatukana Mtvbase na Ema ili apewe yeye?!..ni watu wangapi wanatukanwa kila siku na team yake?!
Ameshaona Naija wamemmaindi sana leo ndio anaamua kujishusha...Wizzy ameanza kutukanwa leo na Team yake?!unafiki uliopitiliza
Angekuwa msataarabu hivyo basi asingekubali Wizzy anyang'anywe tuzo halafu apewe yeye