Alikiba atoa tamko , awataka mashabiki waache kumtukana Wizkid aseme yeye ni shabiki wa Wizkid

Insta kuanzia timu kiba diamond zarina asilimia kubwa hutukana tu bila sababu ya msingi tena majority ni machoko kabisa sasa kuja hapa kutetea upande mmoja si kweli.
Kiba ndio keshapata adhabu ya kujitetea kwa roll model wake we endelea kujaribu kubadilisha mada.
 
Alafu walivyowajinga waandika kabisa eti tumetumwa na kiba himself.
Ndio mungemwambia kiba HUSIPATE TABU YA KUJITETEA KWASABABU WANAOFANYA HIVO SIO "WATU WAKO" LAKINI KWASASA NDIO IMESHAANDIKWA KWENYE KUMBUKUMBU KUWA KIBA ALISHAWAHI KUOMBA MSAMAHA KWA WIZKID NA ALISHAWAHI KULILIA TUZO.
 
Achana nao,kwani aliyeomba msamaha ni nani.
Afu hichi kitu ata mm kinanishangaza sana kila likitokea baya kwa kiba wakulaumiwa ni domo ebu mwacheni mtt wa watu mbona hana time kabisa na nyie kila kitu kumsingizia yeye tu na team yake....wakat team wamekesha wakitukana kwenye page za MTV na wiz leo wamepata walicjokuwa wanalilia kibao kimemgeukia domo daah punguzen chuki sasa
 
Kwa mtu muungwana lazima ange ki clear Yale matusi yaliyokuwa ya naendelea mitandaoni wala haihusiki na umeneja sijui wa mond wala west Africa. Sasa watakaotukana watukane kwa interest zao
 
Kiba ndio keshapata adhabu ya kujitetea kwa roll model wake we endelea kujaribu kubadilisha mada.

Acha ulimbukeni, kama msanii katumia busara sana na kafanya jambo la kiungwana na ala kishujaa, kutoa tamko juu ya jambo baya amabalo linaweza kuhusishwa naye. Mbn serikali ikitoa tamko hamsemi imeomba msamaha.... Nlikuona mwelewa kumbe hovyoooo....
 
Kumbe unalifahamu hilo kwann useme Waliokuwa wanamtukana wizkid team domo, d cku zote ni mtu wa kutupiwa lawama kutoka upande wa pili
Huyu aliyejibiwa na wizkid ukienda kwa post zake huwa ana mpost domo, na tiffah so hapo its obvious anajulikana ni timu gani.
 
Alafu walivyowajinga waandika kabisa eti tumetumwa na kiba himself.
Hawajui hata kudaganya aisee hapo direct unajua ni mtu wa timu flani anayetafta uchonganishi tu wa wasanii. Ubaya wa hizi timu ni kutumia nguvu nyingi kutukana na, msanii hata akifanya jema inakuwa kosa
 
ALI KIBA NI MNAFIKI...!!!!

Nilisha Sema Sehemu fulani na Hapa ninarudia Tena.....Effect ya Alicho Fanya Alikiba Katika Mziki wake ni Kubwaaaa mnoooo Hapo mashabiki wa Kiba mkubari,mkataeee Effect yake ni kubwa!!!!!

Then Nchi za Afrika nyingi ni tofauti sana na TANZANIA wenzetu ni wadadisi na watafiti ni watu wa kureason Out!! Kuna Shabiki alisema Humu ALIKIBA hategemei Collabo na Mnigeria yeyote wala Wizkid ili atoke Africa!,aKasema hawawezi dhurumiwa kisa kuogopa watasema ukweli lakini LEO naona MSANII wao Kaona Effect ya kinacho Endelea ndo maana kaja kuomba msamaha lakini kinafikiiii sanaaa

UKWELI ni huu....ALI KIBA alishaonesha beef na WIZKID toka kenya aliposema yeye ni mkubwa kuliko wizkid na Ataperfom mpaka wizkid apende Jukwaani....WIZ HANA noma Alipanda jukwaani SINA IMANI KAMA wizkid hiyo kitu atakuwa ameisahau kwa vijimaneno vya kinafiki vya ALIKIBA vya leo kuwa ni shabiki wake! Sidhani kama Mashabiki wa WIZKID wamesahau hio kitu kwa Vimaneno vya kiba vya leo!!!

Kabla hiyo haijaisha akiwa clouds aliwatuma mashabiki wake wakafanye wanayo yafanyaaa Leo anakuja Anawakana na Kusema yeye hao sio mashabiki wake, kweli au yule alie kuwa JAHAZI hakuwa yeye? Huo ni UNAFIKI!!!

Kiukweli hata yeye anatambua ili utoboe AFRIKA NI LAZIMA UFANYE VIZURI NIGERIA UKUBARI UKATAE MZIKI WA AFRIKA NI NIGERIA,kuona hilo leo anakuja kinafiki kuomba msamaha lakini mimi nasema ITS TOO LATE wizkid katukaniwa mama ake,katukaniwa familia yaKe,katukanwa yeye,mashabiki wake watukanwa,Winigeria wametukanwa Sidhani kama WATASAHAU kwa vimaneno vya kinafiki vya ALIKIBA vya leo!!!

Leo hii ALIKIBA aseme ana SHOW nigeria Sijui hata kama watu 200 wataingia kwenye hiyo show sina IMANI wala sina Imani kama VITUO VYa Radio vya NIGERIA vitacheza wimbo wowote wa AliKIBA MAANA hata MI mistari yake alifuta kuonesha uzalendo sina IMANI kama nyimbo za Alikiba zitachezwa NIGERIA!!! YOTE hii ni kukurupuka kuchinja kuku kwa njaa ya siku moja!!!

Waandaji wa TUZO wametukanwa sanaaaa As IF kila binadamu ni PERFECT yale matusi yamehifadhiwaaa MTV nzima wametukanwa kisa ALIKIBAA sidhani kama watasahau kwa vimaneno vya KIBA!!! Leo tupo Hapa Alikiba akija kuwa NOMINATED kwenye tuzo za MTV zozote zileee basi Sijui na kwa mziki wake uleee sijuiii

Alikiba na Mashabiki wake kwa ujumlaaaa walicho FANYA hawawezi kukifuta kwa njia yoyote ile hata ya MSAMAHAA kiasi gani,Sidhani hataa kama Davido atafanya collabo na ALIKIBA KWA alichoona kwa RAFIKI AKE alicho fanyiwa

MATUSI,KEJERI,DHARAU KWA WALIOKUTANGULIA sio njia ya kufanikiwa.....TUZO ni kitu kidogo sanaaaa,Mmeyafanya makubwa now MNAJISAFISHA HAKIKA ITS TOO LATE

JIFUNZENI HATA kwa mond Hata akionewa vipi hawezi act kama mtto wa K/koo

ALIKIBA NA MASHABIKI WAKE NI WASWAHILI SANAAAA......

Mmemdidimiza sanaaa ...... CHUKUENI HIYO TUZO LAKINI MSANII WENU ANAKAZI KUBWA
 
Dah nilitaka kujua nani kamuandikia huyu? Maana mwandiko wake naujua sio huu wake huwa mcharango [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu aliyejibiwa na wizkid ukienda kwa post zake huwa ana mpost domo, na tiffah so hapo its obvious anajulikana ni timu gani.
Kupost picha za mtu haimanish unamshabikia msipende kumwingiza domo kwenye mambo yenu ya kipumbavu muwe mnayamaliza wenyewe hii kitu inanikera utafikili mm ndo naambiwa....punguzen chuki
 
Kupost picha za mtu haimanish unamshabikia msipende kumwingiza domo kwenye mambo yenu ya kipumbavu muwe mnayamaliza wenyewe hii kitu inanikera utafikili mm ndo naambiwa....punguzen chuki
Huyo ni timu domo hafu kamsingizia kiba tena alivo mjinga hakufta hizo picha kwanza ukute hilo ni fekero la daymond au sallam maana ndo zao hzo
 
Amefanya kitu kizuri, lakini huyu kaka ni mnafiki fulani hivi, vita imeisha amerudishiwa tuzo yake now ndio anayasema hayo It's good tho.
Hata siyo mnafiki, kafanya kitu sahihi kwa mda sahihi
 
He's human too not an angelic creation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…