Alikiba atoa tamko , awataka mashabiki waache kumtukana Wizkid aseme yeye ni shabiki wa Wizkid

Alikiba atoa tamko , awataka mashabiki waache kumtukana Wizkid aseme yeye ni shabiki wa Wizkid

Kwani Na hilo unabishaaa????? Acha kujitoa ufahamu hayaa basi Bisha na Hayoo kuwa ALIKIBA aliwaomba mashabiki wake Wakadai Tuzo sahizi anawakaaaaaa

Huyo sio MNAFIKI?
Weka sauti na video akiwaomba hapa. Kama siyo, ur my wife.
 
Hahahha mmeshtukiwa, yani ninyi mliweka mambo sawa kwa davido baada ya simba kukosa tuzo channel o leo mnataka king k asiweke mambo sawa? Ohh please.
Basi husiwaze sana,Icon wa taifa kesho yupo Zenji.
 
Basi husiwaze sana,Icon wa taifa kesho yupo Zenji.

Haya ndiyo unayotakiwa kufanya ili salary iingie[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. Unajua ukiweka tangazo lako kwenye uzi wa Kiba huwa inalipa sana.
 
Sichukua mwanamke hasiyejua kuongea na mume wake vizuri.
Si unaona kazi yako iyo yani ya kishoga shoga ndo mana nikakwambia wewe levo yako apa apa jf ishu za diamond unaweka neno sisi,tafuta kiki kwa kuedit izo koment za wanaume usiedi edit koment jibu swali we nani mpk uweke neno sisi?zari au queen Doreen futa tena hayo majina ila nipo siriaz na hilo swali
 
Haya ndiyo unayotakiwa kufanya ili salary iingie[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. Unajua ukiweka tangazo lako kwenye uzi wa Kiba huwa inalipa sana.
DIAMOND'S GUITARIST HUYU HAPA,ULIKUWA UNAMJUA .....??
 
Ali Kiba na team yake walitakiwa kufanya walichofanya, huwezi kuji associate na watu wanaofanya ujinga kama ule.

Professionally alitakiwa kufanya hivyo, otherwise na wewe ni among hizo team MAVI.
oh yeah
 
Its too later for alikiba jama anatembelea nyota ya bin Laden aka simba..
 
On contrary its too early. Asafirie nyota au mwezi, cha muhimu afike anakotaka.
Kumbe sometimes unajitambua,washauri na wenzako kuwa japo mnamkubali "mtu wenu" ila ukweli ni huo uliouandika.
 
Back
Top Bottom