Alikiba awakutanisha mahasimu

Ndo hivyo mkuu..Utakumbuka hata kipinde kile Raisi alivyoitoa ile studio aliwakabidhi TFU..Baadhi ya watu ndo wakawa wanahoji kwann wakabidhiwe TFU na sio TUMA..Mana TUMA ndo chama cha wasanii kilichokuwa kinatambulika

Basi mara zote mi nilikuwa najua ni THT, hata lile sakata la Sugu nilijua ni THT.

Kumbe walitengeneza dubwana lingine li - TFU?

Ila msimu huu wa Magu wataisoma namba.
 
Kiba ngoma yake ya mapenzi yana run dunia kijana alitulia sana. Ngoma hii naipenda sana. Siku hizi sijui imekuwaje.

Hawa watalaka watakuja sameheana tu, wakati mwingine muda husema.
 

Yaani kiba ndio kazindua nyimbo hiyo??..daah nini kimemkumba kiba jamani??..unatoaje nyimbo mbovu hivyo kipindi cha ushindani kama hiki??...dah nishaanza kukata tamaa kama kiba atarudi tena kwenye zama zile za macmuga
 
Hivi Kiba huwa anamlipa Wema kumfanyia promo kwenye page yake au malipo ni tiketi ya bure na kumpandisha jukwaani ili tumuone ?????
 
Wanaweza kukutanishwa na bado wasipatane, hiyo walikuwa wamealikwa kila mtu kivyake ila si kwa kupatanishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…