Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Ndo hivyo mkuu..Utakumbuka hata kipinde kile Raisi alivyoitoa ile studio aliwakabidhi TFU..Baadhi ya watu ndo wakawa wanahoji kwann wakabidhiwe TFU na sio TUMA..Mana TUMA ndo chama cha wasanii kilichokuwa kinatambulika
Basi mara zote mi nilikuwa najua ni THT, hata lile sakata la Sugu nilijua ni THT.
Kumbe walitengeneza dubwana lingine li - TFU?
Ila msimu huu wa Magu wataisoma namba.