Alikiba awapa onyo mashabiki wake wanaomtumia video apost kwa lengo la kukuza mziki wake,asema hatozipost waache

Alikiba awapa onyo mashabiki wake wanaomtumia video apost kwa lengo la kukuza mziki wake,asema hatozipost waache

Watu mnakoment mmeangalia intavyuu?..na mliona au kusikia kiba alichoongea?..nendeni kaangalieni
 
Unadhani unaweza mshusha Kiba kwa posti yako uloposti?... Kweli Kiba anawaumiza kichwa naona umefatilia intavyuu nzima then umekuja kuleta umbea
 
Kaka yenu kashushwa TRENDING huko haya anzeni ule mchezo wenu.
Screenshot_20190619-105908.jpeg
 
Hivi kufanimiwa kimataifa ni kuomba kolabo nyiiiiiiiiingi na wasanii wa nje au?...maana kuna kitu huwa sielewagi hapa hahahahahaaaaaaa #ACHENI KUJIPA MOYO KIBA ATAWAUA
Hiv huyu jamaa angekuwa ana mafanikio makubwa km diamond ingekuwaje? ikiwa hata nusu ya mafanikio ya diamond hajafika yupo hiv.Ndo maana hata sishangai jamaa kutofanikiwa kimataifa.
 
Mashabiki walishampoteza siku nyingi
Ukisikiliza nyimbo kama macmuga, ya Karim na mapenzi yana ran dunia hi ndio identity yake sio hizi nyimbo anazoimba sasa ili aweze kucheza
Hii nyimbo yake mpya MBIO amerudi kwenye line yake kama hujaizingatia muda utaeleza. Mie sio team Kiba ila najua mziki
 
Huwa unahangaika sana na Kiba wewe, its about time kawe tu mkweli kwake, maybe atakuelewa.
 
Back
Top Bottom