Mashabiki walishampoteza siku nyingi
Ukisikiliza nyimbo kama macmuga, ya Karim na mapenzi yana ran dunia hi ndio identity yake sio hizi nyimbo anazoimba sasa ili aweze kucheza
Kucheza kwenyewe hajui maskini ya Mungu kiba ni mpuuzi kama wwpuuzi wengine tu unakatazaje mashabiki zako kufurahia na kusapoti kazi zako huyu jamaa anayumba zana anaferi wapi aisee mziki ni biashara kama zilivo biashara zingine Zinahitajika kujitangaza ndio maana atabaki kuwa maskini... Hahahah naskitika mleta mada hapo juu kasema msaani mkubwa na tajir nchini hv kina 100 anamzidi utajiri hata KondeBoy!!??