Alikiba azidi kuonesha uwezo wake katika Kiboko yangu ya Mwanafa!!

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Hakika Kiba ameitendea haki hii collabo, FA hajakosea kumpa shavu huyu king aliyerudi!!
Mwaka huu watakaa tu, Kiba sasa ni kama maji usipoyanywa utayaoga tu!!
 
Bonge la track aiseee.. FA never disappoints..
 
afadhali Kipi Sijasikia wa Prof Jay kuliko huu kwa maoni yangu lakini
 
Humu Jf hakuna restrictions..kila mtu anPost post tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…