tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Hakika Kiba ameitendea haki hii collabo, FA hajakosea kumpa shavu huyu king aliyerudi!!
Mwaka huu watakaa tu, Kiba sasa ni kama maji usipoyanywa utayaoga tu!!
Mwaka huu watakaa tu, Kiba sasa ni kama maji usipoyanywa utayaoga tu!!