Alikiba & Diamond kwenye list ya Top 100 songs za Itunes?!

Rockaboy EA

Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
6
Reaction score
7
Torture numbers and they will confess to anything, Hatuwez kukubali kuwa victims wa numbers wala hatuwezi kuogopa numbers.

Kwenye Top100 hundred Songs duniani za Itunes charts East Africa. Tumeweza kuingiza Artists wawil from Tanzania.

Alikiba kaingiza nyimbo 3 [HASHTAG]#Mwana[/HASHTAG], [HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Aje[/HASHTAG].

Diamond Platinumz amefanikisha kuingiza nyimbo ya [HASHTAG]#Salome[/HASHTAG] Featuring RayVanny.

My Outlook:
You can see Tanzania we are going somewhere, Tumetikisa kwenye mitandao ya Youtube na Vevo, Sasa tunaendelea ku-cover our position kwenye music stores kubwa duniani kama Itunes.

More Glory.

[HASHTAG]#Bolden[/HASHTAG].
54f53f4f2bba0691fbe871261b5068c2.jpg
 
sifungamani na upande wowote....asante kwa hii taarifa
 
Umesahau mwingine, kuna mdada anaitwa mercy Masika_mwema (34 listed). Anaimba nyimbo za injili huyo Dada. Hebu ongezea idadi au leta full list tunaweza wakuta wengine
 
Torture numbers and they will confess to anything, Hatuwez kukubali kuwa victims wa numbers wala hatuwezi kuogopa numbers.

Kwenye Top100 hundred Songs duniani za Itunes charts East Africa. Tumeweza kuingiza Artists wawil from Tanzania.

Alikiba kaingiza nyimbo 3 [HASHTAG]#Mwana[/HASHTAG], [HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Aje[/HASHTAG].

Diamond Platinumz amefanikisha kuingiza nyimbo ya [HASHTAG]#Salome[/HASHTAG] Featuring RayVanny.

My Outlook:
You can see Tanzania we are going somewhere, Tumetikisa kwenye mitandao ya Youtube na Vevo, Sasa tunaendelea ku-cover our position kwenye music stores kubwa duniani kama Itunes.

More Glory.

[HASHTAG]#Bolden[/HASHTAG].
54f53f4f2bba0691fbe871261b5068c2.jpg
Sanaa ya muziki Tz inakua kila kukicha hongereni wanamuziki wetu kwa kutuwakilisha vizuriiii kiba na mond all the best.ila uku kwenye soccer mama yangu mwanamke sijui tulirogwa sisi jaman tuiombee Tz kwenye mpira [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Torture numbers and they will confess to anything, Hatuwez kukubali kuwa victims wa numbers wala hatuwezi kuogopa numbers.

Kwenye Top100 hundred Songs duniani za Itunes charts East Africa. Tumeweza kuingiza Artists wawil from Tanzania.

Alikiba kaingiza nyimbo 3 [HASHTAG]#Mwana[/HASHTAG], [HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Aje[/HASHTAG].

Diamond Platinumz amefanikisha kuingiza nyimbo ya [HASHTAG]#Salome[/HASHTAG] Featuring RayVanny.

My Outlook:
You can see Tanzania we are going somewhere, Tumetikisa kwenye mitandao ya Youtube na Vevo, Sasa tunaendelea ku-cover our position kwenye music stores kubwa duniani kama Itunes.

More Glory.

[HASHTAG]#Bolden[/HASHTAG].
54f53f4f2bba0691fbe871261b5068c2.jpg

Msanii kabla ajajulikana na kupendwa nje lazima ajulikane na apendwe ndan. Sasa itune music chin ya apple kwa kutumia ac apple tore ya tanzania uwezi kupata apple music, sina hakika kwa nchi zingine za Afrika mashariki.

Sasa kaka apple store Ac ya Tanzania haijawa linked na itune music nyimbo wa wasanii wa tanzania watazijua vp na wataziweka kwajir ya nan wakat wao wanafanya biashara. Hiyo list nafikir inaulakini mkubwa sana sio sababu ya kuwa chin ya apple bas ikawa ni kigezo chakuangali ubora wa wasanii wa nyumban japo wameonekana kidogo.
 
Back
Top Bottom