The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Hii niliangalia Interview take na CMG pale alipoulizwa je unampango wa kuongeza mke ? Pale mtu aliyekomaa ni rahisi tunadanganya wazazi ushindwe kudanganya media,alitakiwa kuruka futi mia kumfurahisha make ila unakataa ile ya neutral hujifungi ,sasa yeye mpaka mnafikia hatua ya ndoa hamjazungumzia swala la mitala aambalo ni challenge sana ndoa zza kiislamu,mke wa kiba hakumungunya neno alisema hawezi kubaliana na hilo very simple.watu wa karibu muendelee kumfunza kijana mke sio girlfriend au mzazi mwenxio,kuna jamaa alijisahau kwa mchepuko mpaka asubuhi kusolve akawapa pesa polisi wakamsweka ndani mkewe akaitwa central aje amtoe .uislamu unaruhusu kufanganya mazingira matatu
1.vitani
2.kuokoa ndoa
3.......nimesahau
1.vitani
2.kuokoa ndoa
3.......nimesahau