Alikiba hajapevuka kuishi na mke

Alikiba hajapevuka kuishi na mke

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Hii niliangalia Interview take na CMG pale alipoulizwa je unampango wa kuongeza mke ? Pale mtu aliyekomaa ni rahisi tunadanganya wazazi ushindwe kudanganya media,alitakiwa kuruka futi mia kumfurahisha make ila unakataa ile ya neutral hujifungi ,sasa yeye mpaka mnafikia hatua ya ndoa hamjazungumzia swala la mitala aambalo ni challenge sana ndoa zza kiislamu,mke wa kiba hakumungunya neno alisema hawezi kubaliana na hilo very simple.watu wa karibu muendelee kumfunza kijana mke sio girlfriend au mzazi mwenxio,kuna jamaa alijisahau kwa mchepuko mpaka asubuhi kusolve akawapa pesa polisi wakamsweka ndani mkewe akaitwa central aje amtoe .uislamu unaruhusu kufanganya mazingira matatu
1.vitani
2.kuokoa ndoa
3.......nimesahau
 
Bora umeileta Jukwaa la Vichekesho!..
Mwanamume aliyekomaa hadanganyi.
 
Yani haruhusiwi kutaniana na mke wake???
 
Back
Top Bottom