Alikiba huwezi kuongea mbele ya camera au?

Alikiba huwezi kuongea mbele ya camera au?

Ali kaanza kua mbele ya Camera kabla wewe hujaja mjini halafu unasema hajui kucheza na camera hahahaha ficha ujinga wako.
 
Leo katika pita pita yangu nimepita kwenye account ya instagram ya clouds FM nikaona Video ambayo Alikiba Alikuwa ametengeneza Tangazo la Coke studio kuonesha kuwa Jumapili hii atakuwa Coke studio

Sasa yale manjonjo Ya kujielezea mbele ya Camera Jamaa naona hawezi kabisa au ni kuto kuzoea kabisa! kaanza Hey mambo vipi Alikiba hapa mmmhh eeee Juma..pili Hii nitakuwa coke studio yaaani Tangazo halina mvuto kabisaa naona ni Hawezi kuweka manjonjo na hajiamini akiwa mbele ya kamera!

Alie ona Hivyo video anaweza kupandisha hapa!View attachment 591027
Wewe tengeneza tangazo lako
 
Peleken pampas kwa mtoto wa mobeto kamera kwani Ali Kiba ni BONGO MOVIE?... Wazee wa kukataa WATOTO mpooooooooo
 
Back
Top Bottom