Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 325
Habari zenu wakuu,
Poleni na miangaiko ya hapa na pale, kiukweli huyu msanii wenu alikiba almaarufu kama kingkiba the real voice siku hizi naona kabisa uwezo wake wa utunzi umeshuka sana, alikiba wa sasa sio yule Alikiba wa 2011 hadi 2015, yule ndio Alikiba niliekuwa namkubari alikuwa akitutolea vitu adimu sana, hauwezi kuifananisha mwana, Dushelele na dodo hau Mbio kwani utaona kabisa ni vitu viwili tofauti sawa kumfananisha mgambo na mwanajeshi, utunzi wa mwana, dushelele ndio ambao mashabiki tunauta sio kuanza kutuletea nyimbo za kawaida kama dodo, mshumaa, mbio na ule wimbo uliobuma baada ya kutoka, mvumo wa radi, sote tunamtambua alikiba ni mtu ambae anatumia akili sana katika kufanya kazi pengine ameamua kubadilika ili kuendana na soko la mziki wa kisasa anyway but anatakiwa hata mara moja moja atuletee nyimbo kama zile za mwana, mapenzi yana run dunia sio mbaya kwaajili ya kutupa furaha mashabiki wake tunaopendaga kazi zake,
Despite na utunzi wa sasa wa Alikiba ila bado anafanya vizuri katika soko la africa pengine ni kutokana na kuwa na mashabiki wazalendo japo anatuangusha na aina ya utunzi wake wa sasa ila ndio hivyo tunaamua kumsapoti hivyo hivyo pengine ipo siku atakuja kubadilika kutokana na vilio vyetu,
La mwisho suala la Alikiba kutoa nyimbo moja kwa miezi ni suala linalotuchukiza sisi mashabiki wa Alikiba, mziki hivi sasa ni biashara Alikiba inabidi ajaribu angalau kutoa nyimbo hata 3 angalau kwa mwaka sio mbaya kwani hii aina ya utoaji wa nyimbo moja japo anafanya vizuri katika soko la sasa ila ingemuongezea zaidi wigo mpana wa biashara, mashabiki tunapenda kusikiliza nyimbo tofauti tofauti , tunapenda sana kumuona kingkiba akitupa nyimbo angalau3 kwa mwaka,
Mwisho wa yote respect kwako king of Africa Alikiba msanii wa kwanza anafanya vizuri hivi sasa Africa na bara la Asia na nchi za kiarabu,