Alikiba jitambue bhana

Alikiba jitambue bhana

wakati ndo umemweka hapo alipo nakupata mashabiki kibao wanao ukubal mziki wake, Binafsi namkubali king ashikirie hapohapo. Wasanii Wote hawawez wakaimba mziki wa aina moja.
Kweli kabisa mi namkubali mwelewe na mleta mada tatizo lipo pale unapoitwa mfalme alafu mtaan wanatawala wengine yaan yeye ndo umkute labda top5,mzki wake ni mtam ila hatoi hits
 
bora hamieni kwa mjeshi huyo kibakuli saivi anapga qaswida tu alafu mwisho hapo umeandika utopolo mtupu
Silipendi hili neno sharobalo kichizi

Kipindi nasoma o level walikua wanawaoa masharobalo
 
Haya maswali hayajajibiwa hadi leo tunaingia mitamboni.

Lini king K alifanya vizuri soko la africa?
KING hadi AUSTRALIA huko anakimbiza sema ndio hivyo hapendi show OFF mkuu katulia tu kimya...
 
Ukweli kiba ni mtunzi mzuri ila kinacho msumbua kiburi hata hivo nawapongeza sana vijana wale kutoka kwenye lebo hiyo wangekufa masikini hakika wamefocas mbali sana kiba hawezi kuwatoa vijana kwa sababu hajielewi.dunia inaenda kwa kasi mno anafanya vitu kama ameridhika wakati ananjaa kali tu kumbuka nao umri haumusubiri umri nao unamtupa ameachwa mbaka na konde zaid ya maelfu ya maili kiba nn unasinzia.unarudi rivasi...
Habari zenu wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale, kiukweli huyu msanii wenu alikiba almaarufu kama kingkiba the real voice siku hizi naona kabisa uwezo wake wa utunzi umeshuka sana, alikiba wa sasa sio yule Alikiba wa 2011 hadi 2015, yule ndio Alikiba niliekuwa namkubari alikuwa akitutolea vitu adimu sana, hauwezi kuifananisha mwana, Dushelele na dodo hau Mbio kwani utaona kabisa ni vitu viwili tofauti sawa kumfananisha mgambo na mwanajeshi, utunzi wa mwana, dushelele ndio ambao mashabiki tunauta sio kuanza kutuletea nyimbo za kawaida kama dodo, mshumaa, mbio na ule wimbo uliobuma baada ya kutoka, mvumo wa radi, sote tunamtambua alikiba ni mtu ambae anatumia akili sana katika kufanya kazi pengine ameamua kubadilika ili kuendana na soko la mziki wa kisasa anyway but anatakiwa hata mara moja moja atuletee nyimbo kama zile za mwana, mapenzi yana run dunia sio mbaya kwaajili ya kutupa furaha mashabiki wake tunaopendaga kazi zake,

Despite na utunzi wa sasa wa Alikiba ila bado anafanya vizuri katika soko la africa pengine ni kutokana na kuwa na mashabiki wazalendo japo anatuangusha na aina ya utunzi wake wa sasa ila ndio hivyo tunaamua kumsapoti hivyo hivyo pengine ipo siku atakuja kubadilika kutokana na vilio vyetu,

La mwisho suala la Alikiba kutoa nyimbo moja kwa miezi ni suala linalotuchukiza sisi mashabiki wa Alikiba, mziki hivi sasa ni biashara Alikiba inabidi ajaribu angalau kutoa nyimbo hata 3 angalau kwa mwaka sio mbaya kwani hii aina ya utoaji wa nyimbo moja japo anafanya vizuri katika soko la sasa ila ingemuongezea zaidi wigo mpana wa biashara, mashabiki tunapenda kusikiliza nyimbo tofauti tofauti , tunapenda sana kumuona kingkiba akitupa nyimbo angalau3 kwa mwaka,

Mwisho wa yote respect kwako king of Africa Alikiba msanii wa kwanza anafanya vizuri hivi sasa Africa na bara la Asia na nchi za kiarabu,
 
Hua nnacheka Sana , comments zenu nikimuangaliaga na yeye
SHOW OFF
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2] YAANI KANAKIBURII KALE KA MJOMBA
 
Ukweli kiba ni mtunzi mzuri ila kinacho msumbua kiburi hata hivo nawapongeza sana vijana wale kutoka kwenye lebo hiyo wangekufa masikini hakika wamefocas mbali sana kiba hawezi kuwatoa vijana kwa sababu hajielewi.dunia inaenda kwa kasi mno anafanya vitu kama ameridhika wakati ananjaa kali tu kumbuka nao umri haumusubiri umri nao unamtupa ameachwa mbaka na konde zaid ya maelfu ya maili kiba nn unasinzia.unarudi rivasi...
Kwani wale watoto baada ya kutoka kwa kiba wametoa NGOMA NGAPI??..huko ambapo hawacheleweshwi
 
LINI ALIFANYA VIZURI SOKO LA AFRICA, SITAKI MANENO WEKA USHAHIDI HAPA.
Alipochukua tuzo MTV akimgaragaza WIZKID kisha AFRIMMA akimgaragaza DIAMOND, then aje ikiondoka na tuzo zaidi ya 12 Wordwide ikiwemo video bora ya mwaka kupitia tuzo za SOUNDCITY haya unataka nn kingine.
 
Kiba mbna anawaumiza sana wazee, kuna kina jux,barnaba,diamond kila aiku kibaaaa kiba kenge nyie.
 
Alipochukua tuzo MTV akimgaragaza WIZKID kisha AFRIMMA akimgaragaza DIAMOND, then aje ikiondoka na tuzo zaidi ya 12 Wordwide ikiwemo video bora ya mwaka kupitia tuzo za SOUNDCITY haya unataka nn kingine.
MTV ulikuwa ya wizkid, afrima kachukua moja Tena kwa bahati ilihali miaka hiyo yote alikuwa kimya ajachukua hata moja, huku diamond akiwa kabeba MTV mbili kwa 1 day, afrima zaidi ya 10 na MVP soundcity (DIAMOND>kibamia ajuza)
 
Mkuu unapotea wizkid alipewa kimakosa tuzo wakaja kusahihisha kwa kumpa kiba MTV Ema mkuu
 
Mkuu unapotea wizkid alipewa kimakosa tuzo wakaja kusahihisha kwa kumpa kiba MTV Ema mkuu
Ndo kugaragazwa huko manake hadi anapewa yeye kimakosa si ina maana alikuwa mmoja kati ya wanaoshindania mzee mbona unajiwehusha
 
Back
Top Bottom