Alikiba, justin bieber, bruno mars ndani ya jukwaa moja

santos mtn

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
348
Reaction score
369
Habari zenu wapenda burudani,
Ni dhahiri kua kwa sasa mziki wa bongofleva ndio kitu pekee kinacholitangaza zaidi taifa letu katika tasnia ya burudani.

March 18 mwaka huu ambapo kutafanyika tamasha kubwa kabisa duniani na kwa nchi ya marekani pia lijulikanalo kama SOUTH BY SOUTHWEST music festival msanii pekee ambae ataiwakilisha Afrika atakua ni Alikiba kutoka Tanzania.

Pia ijulikane kua ni moja ya matamasha ambayo viingilio vyake huanzia ($ 250) hadi ($5000) kwa VIP.
Tusupport wasanii wetu, Ahsanteni

[HASHTAG]#bongoflevayetu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#fahari[/HASHTAG] yetu
 
Naona hawa mashabiki wa kibakuli hua wana jitekenya na kucheka wenyewe
Naona ziara zenu zimewashinda sasa mnaanza kuvamia matamasha ya watu sasa
Kama ile ya mombasa

Naona hapo hata stage hato fika
 
Hongera kwake..

Ila sijua ataimba wimbo gani eeh yesu.. Dushelele??..no.. Usiniseme!? Mmh!?
 
kama namuona chai jaba alivyo nuna na mdomo wake kma jaba

si mpendi mm
Good thing hakujui.....unamchukia mtu ambaye hajui kuwa unamchukia....yaani hajui una exist huku duniani....yaani hajui km paliwahi kuumbwa mtu km ww..... lkn sasa tukija upande wako kutwa kufuatilia headlines zinazomhusu ili tu uoneshe chuki kwake....poyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…