santos mtn
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 348
- 369
Habari zenu wapenda burudani,
Ni dhahiri kua kwa sasa mziki wa bongofleva ndio kitu pekee kinacholitangaza zaidi taifa letu katika tasnia ya burudani.
March 18 mwaka huu ambapo kutafanyika tamasha kubwa kabisa duniani na kwa nchi ya marekani pia lijulikanalo kama SOUTH BY SOUTHWEST music festival msanii pekee ambae ataiwakilisha Afrika atakua ni Alikiba kutoka Tanzania.
Pia ijulikane kua ni moja ya matamasha ambayo viingilio vyake huanzia ($ 250) hadi ($5000) kwa VIP.
Tusupport wasanii wetu, Ahsanteni
[HASHTAG]#bongoflevayetu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#fahari[/HASHTAG] yetu