Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,107
- 1,056
Chuki tuu hakuna jipya.Naona hawa mashabiki wa kibakuli hua wana jitekenya na kucheka wenyewe
Naona ziara zenu zimewashinda sasa mnaanza kuvamia matamasha ya watu sasa
Kama ile ya mombasa
Naona hapo hata stage hato fika
Mkuu hii show imeshafanyika?Kikitokea hicho kitu sijuiiii Tarehe 18 sio mbali
Mkuu hili tamasha limenyika tayari? Tupe mrejesho show alikuwajeHabari zenu wapenda burudani,
Ni dhahiri kua kwa sasa mziki wa bongofleva ndio kitu pekee kinacholitangaza zaidi taifa letu katika tasnia ya burudani.
March 18 mwaka huu ambapo kutafanyika tamasha kubwa kabisa duniani na kwa nchi ya marekani pia lijulikanalo kama SOUTH BY SOUTHWEST music festival msanii pekee ambae ataiwakilisha Afrika atakua ni Alikiba kutoka Tanzania.
Pia ijulikane kua ni moja ya matamasha ambayo viingilio vyake huanzia ($ 250) hadi ($5000) kwa VIP.
Tusupport wasanii wetu, Ahsanteni
[HASHTAG]#bongoflevayetu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#fahari[/HASHTAG] yetuView attachment 477470
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na mm nauliziaMkuu hii show imeshafanyika?
Nangoja waje cc. Mzaramo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na mm naulizia
Hata mm pia nasubiri mrejeshoNangoja waje cc. Mzaramo
kwa kiba sahau labda selfieHongera zake kijana sema achangamke atafute hata kolabo.
Mzaramo tuaomba mrejesho kuhusu hii show tayari auHatuendi International kwa Collabo.
Huyu sio Dimond mkuu.
Hatuendi International kwa Collabo.
Huyu sio Dimond mkuu.
simba unamuona hapo
Bruno mars rappaAcheni hizo akina domo
Si tumeimba na akina Justin bibers na bruno mars na tumejikausha hata picha wala video hatujatengeneza...
DuuuUnajua kiba kapiga hiyo show. aliwafunika sana wakina bieber na bruno, mpaka jay-z alikuwa anataka kumsign, Ally k papiree akamwambia jiga umechelewa niko chini ya sony. Kwa vichekesho vingine kama hivi, please jiunge team kiba fans
Itakuwa ni march 18 ya mwaka 2018 tuwe na subira king siyo mtu wa show off sanaJaman nadhan march 18 ilisha pita
Naona kimyaaa