Alikiba, justin bieber, bruno mars ndani ya jukwaa moja

Alikiba, justin bieber, bruno mars ndani ya jukwaa moja

Naona hawa mashabiki wa kibakuli hua wana jitekenya na kucheka wenyewe
Naona ziara zenu zimewashinda sasa mnaanza kuvamia matamasha ya watu sasa
Kama ile ya mombasa

Naona hapo hata stage hato fika
Chuki tuu hakuna jipya.
 
Msinisemeee msinisemee eeh .....kiba huyo aliimbaga hivyo kabla ajaanza kusema YYooooooo
 
Habari zenu wapenda burudani,
Ni dhahiri kua kwa sasa mziki wa bongofleva ndio kitu pekee kinacholitangaza zaidi taifa letu katika tasnia ya burudani.

March 18 mwaka huu ambapo kutafanyika tamasha kubwa kabisa duniani na kwa nchi ya marekani pia lijulikanalo kama SOUTH BY SOUTHWEST music festival msanii pekee ambae ataiwakilisha Afrika atakua ni Alikiba kutoka Tanzania.

Pia ijulikane kua ni moja ya matamasha ambayo viingilio vyake huanzia ($ 250) hadi ($5000) kwa VIP.
Tusupport wasanii wetu, Ahsanteni

[HASHTAG]#bongoflevayetu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#fahari[/HASHTAG] yetuView attachment 477470
Mkuu hili tamasha limenyika tayari? Tupe mrejesho show alikuwaje
 
Yooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
asisahau kale kasauti kake
kanakosema
nyooooooooooooooooo
 
Hatuendi International kwa Collabo.

Huyu sio Dimond mkuu.
2811d3f7342aa72f62a85b2d57bb8a16.jpg
simba unamuona hapo
 
Kiba kakacha shoo baada ya kuona Mars na Bieber ni wasanii wadogo.
 
Unajua kiba kapiga hiyo show. aliwafunika sana wakina bieber na bruno, mpaka jay-z alikuwa anataka kumsign, Ally k papiree akamwambia jiga umechelewa niko chini ya sony. Kwa vichekesho vingine kama hivi, please jiunge team kiba fans
Duuu
 
Back
Top Bottom